Numero Uno JF-Expert Member Apr 14, 2020 597 1,278 Jul 11, 2021 #1 Kuelekea world cup 2022 nchini Qatar naona la pulga akitwaa medali ya dhahabu akiwa na umri wa miaka 35. Tuombe uzima tu
Kuelekea world cup 2022 nchini Qatar naona la pulga akitwaa medali ya dhahabu akiwa na umri wa miaka 35. Tuombe uzima tu
PNC JF-Expert Member Feb 3, 2015 8,107 14,352 Jul 11, 2021 #2 Nawasalimu kwa Jina la Messi Kazi iendelee
mugah di matheo JF-Expert Member Jul 28, 2018 6,276 12,336 Jul 11, 2021 #4 Huko mbali Sana,sizani kama kati ya cr7 na Messi watakuja kubeba