Messi na demu wake!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,034
Messi kaingia na demu gheto kwake.Yule demu akaingia bafuni kuoga. Aliporudi toka bafuni alimkuta messi akiwa na washikaji wengine wawili.Yule demu akahoji wale ni akina nani na wako pale kwa ajili ya nini?. Messi akamjibu..hawa ni Xavi na Iniesta,baby si unajua siwezi kitu bila msaada wa hawa masela!
 

Kupigia mipasi nini? Dah
 
Jaguar nimeipenda hiyo,ila wewe ni Madrid nini?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo kweli kali kwani wengine mpaka waweke CD ya pilau ndio msosi unalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…