messi messi messi

Muk

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
547
Reaction score
70
dogo kweli yupo poa na anaweza maana jana karudi na katupia 2. nampa big up.
 
na messi wa simba naye katupia mbili jana usiku
 
mpaka arudie u-king inaweza kuwa sawa na ujio wa Mfalme wa Wafalme
 
Jamaaa yuko vizuri,na hii yote ni kutokana na kumshirikisha MUngu na kumwamini kwa kila jambo,na hilo ndio jambo twapaswa kujifunza kutoka kwake,kushukuru kwa kila jambo na tusichoke kuomba na kushukuru,
 
Hii ni habari mbaya sana kwa wanaomchukia Lionel Messi.
 
Man City mpooooooooooooo????????????
 
Dogo kapiga magoli ya akili sana yote at 90min plus .. goli la pili ndo lilikuwa balaa ....!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…