Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,812
- 4,322
Kwa ufupi tu Messi hajui mfumo wowote nje ya Barcelona kalelewa hapo kafanikiwa hapo ,akili yake inawaza hapo hana maajabu yoyote nje ya hapo mfumo aliouzoea kucheza kwa mafanikio haumruhusu kufanikiwa nje ya barca messi anaweza kufanikiwa labda man city ya pep kwa sababu pattern za kimchezo ni zilezile za Barcelona