hahahhh Messi is the Best Kaka...u dont need a degree to know that...
sisemi hivi kwa sababu ni purely Barca, Hell no...dogo mambo anayoyafanya na umri
wake ni haviendani, ni msumbufu mpaka basi. wamechukua makombe yote makubwa
kwa msimu uliopita na juzi wamemalizia kuchukua club bora duniani na goli lilifungwa
na messi. so unashangaa nini hapo?
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani though umechangia kishabiki zaidi. Nilifikiri ungekuja na analysis nzuri zaidi ya kutufanya tuamini Messi ni zaidi ya Ronaldo kwa sasa.
Dogo ni mzuri lakini huwezi pinga ukweli Kwamba club imechangia kumfanya Messi a shine zaidi, ukitilia maanani viungo bora kabisa waliopo pale barcelona. Ingawa bado sijaona mchango wa Messi kwa timu yake ya Taifa ya Argentina, naamini atakuwa na mazuri mengi yakutuonesha wapenda soka come June 2010.
Kwangu mimi, top four players in the world now are (in order of priority)
1. Andre Iniesta (huyu jamaa ni nomaaaaa)
2. C. Ronaldo
3. Messi
4. Steven Gerald
Mchezaji wa timu ya Barcelona ameibuka kidedea masaa kadhaa yaliyopita baada ya kumwaga kwa mbali Ronaldo. Kura zinaonyesha Messi alipata kura karibu mara tatu ya zile Ronaldo. Maswali ya kujiuliza, je Messi amesaidiwa na timu zake kutwaa Tuzo au yeye ndiyo amezipatia mafanikio timu zake. Itakumbukwa kuwa timu yake ya Taifa haipewi nafasi kubwa katika kombe la Dunia, je inawezekana Messi hiyo ndio tuzo ya kwanza na ya mwisho. Nini hatima ya Ronaldo ambaye anaonekana kuwa mpinzani wa Messi. Au tutegemee wengine tena kuchipuka katika kombe la dunia. Bnafsi nadhani Messi anastahili!!!
Naona kama kawaida kila mwaka watu wanamsahau dada yetuMarta Vieira Silva.
Huyu kwa MARA YA NNE MFULULIZO kachukua kiatu cha dhahabu kwa wanawake.
Kamua dada Marta kamua. Muone akiwasotesha wanawake wenzie utafikiri KIDUME.
http://www.youtube.com/watch?v=OkKV1bzu1-Q&feature=related