Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Lionel Messi ameumia hivi punde akiitumikia FC Barcelona katika mtanange kati yao na Atletico Madrid. Kwakuwa Barcelona walimaliza nafasi za kufanya mabadiliko,wanalazimika kumalizia dakika 20 wakiwa pungufu,yaani wachezaji 10 uwanjani. Messi anambilika nje ya uwanja kwa uchungu mkubwa.