Messi alistahili tuzo ya mchezaji bora

Messi alistahili tuzo ya mchezaji bora

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,880
Reaction score
7,527
Fikiri sasa hiyo tuzo angepewa nani
robben tayari ana kashfa ya diving
jr tayari mfungaji bora pia colombia imeishia robo final
muller huwezi kumpa koz germans hawakumtegemea mtu binafsi kufika final wale wana work as a team mchango ailoutoa muller hauna tofauti na jerome
sasa hyo tuzo ungempa nanai kama sio messi tuzo hii inaambatana na vitu vingi sna ikiwemo discipline
argentina bila messi mswizi kina shakiri wwngewatoa mapemaaaaaaa

hope mmenipata wale anti messi mostly cr7 fans
 
Huu ni ulinganisho wa Toni Kroos na Messi, ambae kwenye Index ya FIFA anaongoza kwa 9.7/10

HKj9AfM.png
 
hapana,messi hakudeserve kuwa mchezaji bora.Mara mia mascherano.for sure this tym messi hajaperfom kiivo kama tunavomjuaga.OL I CAN SAY,FIFA imejaa SIASA,nothing else.
 
Messi alikuwa mbali sana na alistahili kupata tuzo
Muda wote uwanjani alikuwa police marking kwa kila timu waliyocheza nayo ndio maana hukumona sana kufanya vile tulivyozowea lakini pia alichachafya timu zote zilizokabiliana na argentina
Kama utakumbuka baina ya Uholanzi na Argentina, Di Jong hakuwa na kazi yoyote zaidi kuangalia kila hatuwa ya Messi anayokanyaga lazima awe pembeni yake
Haikutokezea lakini kama Messi angeliumia na kuwako nje ya uwanja kwa dakika tano basi ungelimuona mkabaji yuko kwenye line akimsubiri(jokes)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom