MESSI adhihirisha UMWAMBA wake...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Nahodha wa Argentina Lionel Messi amedhihirisha kuwa yeye ni wa kiwango kingine pale alipoiongoza timu yake kupata ushindi dhidi ya Uruguay ya akina Luis Suarez,Diego Forlan na Edinson Cavani. Messi aliyefunga mabao mawili kati ya matatu,aliichanachana kabisa safu ya ulhnzi ya Uruguay. Argentina wameshinda kwa mabao 3-0. Bao lingine amefunga Sergio Aguero...
 
CR7 naye ni mzuri ila huwa namkubali zaidi Mess, anafaa tena kuwa mchezaji bora wa dunia.
 
Nahodha wa Argentina Lionel Messi amedhihirisha kuwa yeye ni wa kiwango kingine pale alipoiongnya timu yake kupata ushindi dhidi ya Uruguay ya akina Luis Suarez,Diego Forlan na Edinson Cavani. Messi aliyefunga mabao mawili kati ya matatu,aliichanachana kabisa safu ya ulhnzi ya Uruguay. Argentina wameshinda kwa mabao 3-0. Bao lingine amefunga Sergio Aguero...


Lakini hajawahi kubeba world cup...
 
Na cc Spain tumeua Belarus mbele ya mashabiki wao jana kule Minsk,Belarus bao 4-0,Pedro Rodriguez Ledesma kafunga matatu na Jordi Alba Ramos,next mechi ni calderon vicente uwanja wa atletico madrid spain vs france tarehe ntawataarifu baadae.
 
Jana Spain 1 France 1,Spain ilizidiwa japo ilitangulia kufunga dk 25 Sergio Ramos Garcia,Cesc Fabregas i Soler alikosa penati,David Silva Jimanez aliumia dk 26 akaingia Santiago Cazorla Gonzalez,kwa kweli chama langu walichoka hasa kukosekana kwa Gerard Pique i Bernabeu a.k.a shakira shakira ilimlazimu Sergio Busquets i Burgos kucheza mkoba sasa Xabier Alonso Olano alichoka 2nd half na uchovu wa kucheza ijumaa kule Belarus,France walililax kidogo zaidi ya friend mechi ambayo walibadilisha wachezaji wote,sasa spain ya ijumaa na jana ilikuwa ileile wote,then dk ya mwisho 93 Giroud akachomoa goli kwa wafaransa
 
akiwa na Fury La roja wekundu wa Spain atabeba,ila sio mabitoz wa kiargentino

tatizo lako hujui ama hufuatilii kinachoendelea kwenye conmebol - hebu meza desa hili:

soc_g_messi_576.jpg


End Of The Debate

After a string of stellar performances, Leo Messi has silenced the critics who say he can't raise his game for Argentina.

Five things we learned from the South American qualifiers - ESPNFC
 
tatizo lako hujui ama hufuatilii kinachoendelea kwenye conmebol - hebu meza desa hili:

soc_g_messi_576.jpg


End Of The Debate

After a string of stellar performances, Leo Messi has silenced the critics who say he can't raise his game for Argentina.

Five things we learned from the South American qualifiers - ESPNFC
soka america kusini ni sawa na spain zamani chenga twawala lakini twafungwa,mimi spain tu sasa,niliangalia juzi venezuela vs ecuador sema sikuwa na mvuto nao,mimi kama Manolo toka 1982 na spain na mimi nafuata nyayo zake,labda mshawishi Chomba atakufuata South america,mimi furia la roja kaka.
 
safi sana uyu mtoto ananikuna vibaya
ivi sredi letu "sticky" la barca liko wapi?weee mod wa ili jukwaa
 
Atalibeba Maracana 2014 mbele ya Dinho (atakayekuwa kwenye stands akimshangilia dogo aliyemnyanganya mkongwe misifa Barca)!


Sifa za Messi ni hapahapa Duniani tu...
Lakini Sifa za Dinho ni mpaka Mbinguni...

Forza Gaucho...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom