Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 278
- 842
=================================
Hatimaye mwisho umefika, nani anaenda kutwaa ubingwa? Sijui niweke bet na Mods eti Wakuu? Team Messi mbondwe tu🤣🤣
Hauna timu halafu hutaki Messi afunge!Uzuri sina timu ninayoishabikia kwenye huu mchezo. Timu yangu ya Ufaransa imeniangusha. Ahueni Mbape aingia nyavuni mara mbili. Leo nitafarijika kuona Messi anakabwa mpaka kivuli chake ili tu asifunge.
Wewe ni timu Ronaldo, hii fainali haiwahusu. Fainali yenu ilikuwa ya mshindi wa tatu ishapitaTeam Messi mbondwe tu🤣🤣
Wachawi mko wengi Messiah atawanyoosha mwaka huu mpaka mkondeUzuri sina timu ninayoishabikia kwenye huu mchezo. Timu yangu ya Ufaransa imeniangusha. Ahueni Mbape aingia nyavuni mara mbili. Leo nitafarijika kuona Messi anakabwa mpaka kivuli chake ili tu asifunge.
ww shabiki wa messi?Kamara natoka chumba cha maudhui
Kazi kwenu
Hapana 🇪🇸ww shabiki wa messi?