Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Aghaaaa wapi. Utamu wangu haupogo jf mie. Kuwa na amani tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
afadhali maana siku nikijua nasheaga utamu wangu na mtu mwingine nitakudedi hivihivi
Aghaaaa wapi. Utamu wangu haupogo jf mie. Kuwa na amani tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
afadhali maana siku nikijua nasheaga utamu wangu na mtu mwingine nitakudedi hivihivi
Hunishindi mimi mpenzi.![]()
![]()
![]()
Nilikumiss hadi bathi
Upo wapi?Aghaaaa wapi. Utamu wangu haupogo jf mie. Kuwa na amani tu
Sawa haina shida sisi ngoja tuendelee kuserebuka tuHataki habari za jf![]()
![]()
![]()
hakuwezi huku
Nakazia shem anakupenda sana jamani hivi sura yangu nitaiweka wapi mm
Hata akirudi my swiiii tumoo my love tumooo mama wawili wangu mfyuuuuuu akwendreeee uko
Ulipotelea wap lakini au ulitekwa?Tumosa upo
Ngoja tukae kikao shemela mkiyoka hanimuni mtaikutaShemela zawadi nzuri sana hiyo
Usijali ngoja tumalizie huu utamu wa moto moto kwanzaNgoja tukae kikao shemela mkiyoka hanimuni mtaikuta
ahsante kwa baraka mkuuKila la kheri mkuu