RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,824
- 129,719
Nyie shikeni pembe wengine wanakamua maziwaWashika pembe tupoo
Nyie shikeni pembe wengine wanakamua maziwaWashika pembe tupoo
nimecheka sana wewe wa kutoniamini mm kuchunga mzigo lazima mama nyakunyaku kila sehemu
nsamehe mama
Umenichanganya hapoEmbu mjibu muke ya muchawi na huyu
Ahahahha sawaNyie shikeni pembe wengine wanakamua maziwa
Genta alizidiwa![]()





Genta ananiambia namuona mama sabrina anataka kukupora sasa nitenge tenge niingie kwa mama sabrina
Hahhaha kweli ndugu yangu umeshikika jamani![]()
nsamehe mama
Acha kujikataa hakuna mzee hivyo wewe bado binti kama nandyacha kunijaza ba mkwe na uzee huu nilionao
Hakuwa siriaz,mimi nipo na G mwingine tu na siwezi pinduaGenta ananiambia namuona mama sabrina anataka kukupora sasa nitenge tenge niingie kwa mama sabrina
karibu mtumishi tulikumissBwana yesu asifiwe ameeeen

Acha kujikataa hakuna mzee hivyo wewe bado binti kama nandy






Ba mkwe mm ni mzee bana naanzaje kuwa kabinti kama nandy
Hahaha hivi anafananajeHakuwa siriaz,mimi nipo na G mwingine tu na siwezi pindua
hajaacha anakula chipsi kwakua mko mkoa mmoja nakuruhusu ukampikie shemeji yakonaona sasa atakuwa kaacha kujipikia mwenyewe