Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Muzima ww lkn!Sawa anko eeh
Muzima ww lkn!Sawa anko eeh
Bila shaka utakapoona matunda yake basi ndio utaamini.Hivi haya ni kweli au?
Naona toto limejaa lenyeweHahahahaaa
Sawa mkuu
kila la kheri kwenuShukrani sana mkuu kwa dua yako na ushauri wakoBig up bro mwifwa.
Na we mpende shemeji km anavyokupenda.kukupenda kwake usione ni udhaifu wake ikawa fimbo ya kumtesea hisia zake.nawaombea mfike mbali zaidi yaani next level
Si vyema kufa na tai shingoni mkuuNaona toto limejaa lenyewekila la kheri kwenu
Muda ni huu, tafuneni buanaSi vyema kufa na tai shingoni mkuu![]()
![]()
![]()
![]()

Hapa ni taratibu kabisa wala hamna paparaMuda ni huu, tafuneni buana![]()
Brethren continue ye doeth the business and all things will be added unto you.Ujumbe kama huu natamani nami ningeandikiwa daah basi tena![]()
Hongera kamanda mwifwa
Unamfahamu nje ya jf ?Sijui mke wa anaeandikiwa akiuona ujumbe huu atajisikiaje....ndoa huvunjika hivi hivi iwapo dume ilikipewa ujumbe kama huu kutoka kwa mchepuko
Ngoja tusubiri jibu mkuuUnamfahamu nje ya jf ?
HayupoYule Wa makapuku
Wow....
I know my mshipa![]()
![]()
![]()
![]()
Bado naisubiri icebrightThe ship is continuing to sail
Hongereni