Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Mkuuu mbona mie sipendi pilau na kachumbari,kachumbari inaleta minyoooUpendo wa dhati bila chura ni sawa na pilau bila kachumbari!!![]()
Sitaki kabisa shem, sitaki kusikia hizi drama kumbe viungo vyao vinapitia ukame wa miaka. Waende watafunane wafurahishe maungo yao.Nakazia shem sipendi bongo movie mie halafu dada angu amekumiss
NdiwoooWe si ndio uliniambia ako na mbebez jamani
T-shirtMh basi niliwekwa nilikuwa nimelala au aliwekwa mwingine alivaaje
Wooooooooooozeeeeeerrrrr mamaa wa list
Kuleta minyoo ni maandalizi ovyo!!Mkuuu mbona mie sipendi pilau na kachumbari,kachumbari inaleta minyooo
Tumia pilau na rost
AiseeeSitaki kabisa shem, sitaki kusikia hizi drama kumbe viungo vyao vinapitia ukame wa miaka. Waende watafunane wafurahishe maungo yao.
Mm sijui jamani siko single mbebez wangu ananitoshaHaha kwani wanaoliwa wote wapo single
WoyoooooooooooHahaha
Nammiss sana jamani
HahahaWooooooooooozeeeeeerrrrr mamaa wa list
Jamaa yetu yule Kwann afanyi haya mambo
Niko mie jamaniUnaenda wapi
Ndo utajua we endelea kuniharibia tuMm sijui jamani siko single mbebez wangu ananitosha
Tuacheee, shem sisi tunafurahia uumbaji ujuweWooooooooooozeeeeeerrrrr mamaa wa list



