Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Babu akajua umenipeleka vichochoroniSijaenda mahali ujue... Mbalizi1 siwezi mfichaa kwani ako na shida gani aki, ni my dear and it's will be dat way!!
Shikamoo mpendwa wake SakayoHahahahaaaaaaa
Ninyi na babu yenu huyoooo
Mashavu ndio jamani kwani mmelewaje lakiniMashavu![]()
![]()
![]()
![]()
Sijaenda mahali ujue... Mbalizi1 siwezi mfichaa kwani ako na shida gani aki, ni my dear and it's will be dat way!!
Nani utakayemuweza kama huyo humuweziSimuwezi huyo
UmeanzaaaaaaYou are taking me to distant imagination
Khaaaa hivi upoje we babuJamani we mjukuu mi nakutaka![]()
Yapo ya aina nyingi, sijui wewe unamaanisha yapi?Mashavu ndio jamani kwani mmelewaje lakini
Huwa nakuangalia wewe tu mjukuu wangu... Yale huwa yananiponyoka tu.





utasababisha nipewe talaka naomba uniache tu
Namuona babu yako aki
Huyu babu kanishinda mieAbeeeee
Naguna tu mimi mpendwa wangu
Nakusalimia jamani
WoyoooooooMzima sana mimi
Hofu kwako tu mpendwa wangu
Huyo babu ananitafuta nini nitamweka kwenye ignore listWoyooooooo
Yaaaan kama ww ndio nishakushindwa akiNani utakayemuweza kama huyo humuwezi

Nakuhamu mno jaman!
Nijulie hali yake Sakayo hapo vp hajambo?
Mbalizi1 mzima sana
Hahaha
Aki wewe nakushindwa!! Mie niko poa kabisa aki





Sakayo wa mashavu