mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Na wewe komaa wacha woga.... Sakayo ameridhia wawe wawiliNisamehe mimi nilifanya kama utani lakini
Na wewe komaa wacha woga.... Sakayo ameridhia wawe wawiliNisamehe mimi nilifanya kama utani lakini
AkwendeeeeLabda amuache kwanza kama anataka kuja kwako![]()
Wapiiiiii?Akwendeeee
ShikamoooSi ulianza wewe kufata lkn?
Marhabaa dada... Hujambo?Shikamooo
Sijambo kaka. Za kupotea?Marhabaa dada... Hujambo?
Umbea hujaachaWewe nawe umeanza kumuiga dadaake Shunie eeh? Angalia Usije ukachikuliwa na T.....![]()
Nzuri tu dada.... Za kwako?Sijambo kaka. Za kupotea?
Sasa ni wivu au!!? Kama ulikuwa hutaki kufatwa ulifuatilia nn mambo ya watu?

Kwa mpendwa wakeWapiiiiii?
Nzuro kaka.Nzuri tu dada.... Za kwako?
We endeleaNachukua coaching kwako![]()
Vp imepanda?Nzuro kaka.
Basi nisamehe banaWe endelea
HahahaUmeongeza katika list...?![]()
HallelujahAfadhali kama unasikia maneno ya wazee... Utabarikiwa
Wanaanza ukorofiiSi Tumekubaliana unaacha ugomvi ?
TokaaaUmeelewa sasa ni Sakayo gani anaeulizwa eeh!!!?![]()