Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Babu kanishinda jamani mchukue
AkuuuuSijui jamani ebu mchukueni tu mm simuwezi
Kwa ndo tuseme humjui?Nimemshindwa babu yangu jamani anayemtaka amchukue
Amekuonea aibuYaan babu kila vinavyoendelea anavijua kanistiri vyangu tu mm mjukuu wake
Kumbe ni mambo za undugu eeehYaan babu kila vinavyoendelea anavijua kanistiri vyangu tu mm mjukuu wake
KhaaaaaaAkuuuu
Babu yako huyoo pambana nae huko
Ndo babu yetu hatuwezi mtupa jamaniBabu kanishinda jamani mchukue
Kumbe mambo za kufutwa jasho unazijua
naonaga kwenye chereko TBC aki
Sio simjui wewe umeyajulia wapiiiii kumbe huwa unasoma kimya kimya tunajua haupo jf kumbe upo onlineKwa ndo tuseme humjui?
Great men act in silence.... Remember!!!Naona uharibifu wake tunajua babu jf kapotea haonekani kumbe yupo online anafatilia kila kinachoendelea



Na kweli vyangu ananionea aibuAmekuonea aibu
Mambo za undugu zipi jamani ujue bado namshangaa huyu babuKumbe ni mambo za undugu eeeh
Babu jamaaniNdo babu yetu hatuwezi mtupa jamani
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
naonaga kwenye chereko TBC aki





Nimecheka sana kwahiyo na wewe ndio unazitaka ufutwe jasho na mahela
MhGreat men act in silence.... Remember!!!![]()
Sikubebi mie naanzajeHutakiwi kunibeba![]()
NdiwoooKhaaaaaa
Akwende hukoMambo za undugu zipi jamani ujue bado namshangaa huyu babu