Hahahahhh yapo hayoMkuu siyo wote wanategemea uchumi wa ngosha...kuna watu kwao pesa haina msimu
kwanini usitumie maneno machache tu na ukaeleweka ''kwanzia leo mimi na wewe baasi''....maana unatakakuachwa siyo bure.kwenda kwa mwanaume,
.VIP uko powa nakupenda sana my capet wangu,baby nina shids nissifir laki 4 nitakurudishi mwisho ws mwexi
Tena hili halina ubishiMkuu siyo wote wanategemea uchumi wa ngosha...kuna watu kwao pesa haina msimu
unamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya tigo pesa linampata????????KWENDA KWA MWANAMKE
1. 3HB568EOPN Imethibitishwa umepokea Tsh500,000.00 kutoka 8883456459-MSAGA SUMU mnamo11/8/16 saa 7:09 PM Baki yako ya M-Pesa ni Tsh940,000.00.
2.Baby likizo inakaribia, unaonaje kama tukienda Ngorongoro N.Park then after three weeks tutarudi home? I hope 'll enjoy a lot
3.Hallow sweet, naelekea bank nitumie gharama za kodi, bei ya kile kiwanja ili nikuweke pesa kwenye A/C, usisahau lile deni unalodaiwa.
4.Darling, jiandae kesho saa tatu asubuhi nitakupitia twende K/koo ukafanye shopping.Jitahidi uwahi sababu saa tisa nina kikao cha harusi kimara.
5.Bae wa mimi umeamkaje???I miss you, after work nitakupita kwajili ya dinner..have a nice morn wangu.
6.Honey upo wapi??? nina bonge la surprise for you, I need to see you right now!
7.Hallow darling, umeshindaje??? kuna post zimetoka hapa ofcn so mwambie Jane(mdogo wake manzi) aniletee CV zake kesho asubuhi .
8.Honey ile dressing table uliyoiitaji Nico atakuletea hapo nyumbani mchana,kwahiyo hakikisha kuwepo huo muda.
9.Baby jumamosi ijayo nitakupeleka nyumbani, nataka nikakutambulishe kwa ndugu zangu...wanasumbua sana wanataka kukuona.
10.Hallow sweetheart,..hivi unajua ni miaka miwili sasa tupo pamoja??? nataka kuanza maandalizi ya harusi na kutangaza ndoa....I LOVE YOU SO MUCH.
KWENDA KWA MWANAUME:
Hubby wa mimi umeshinda salama mpenzi wangu? nimekumiss je,leo nakuja kulala kwako nina hamu ya lile tunda letu...lov you my hubby....hahahaaa with men things are very simple....ebu ongezen msg nyingine zinazopendwa kwenye mahusiano.
hahahahaha nimeipenda hii kwa kweli.unamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya tigo pesa linampata????????
Ndo utakapokumbuka kujaza booklet kwenye mtihani sio kupata A
?????????????
KWENDA KWA MWANAMKE
1. 3HB568EOPN Imethibitishwa umepokea Tsh500,000.00 kutoka 8883456459-MSAGA SUMU mnamo11/8/16 saa 7:09 PM Baki yako ya M-Pesa ni Tsh940,000.00.
2.Baby likizo inakaribia, unaonaje kama tukienda Ngorongoro N.Park then after three weeks tutarudi home? I hope 'll enjoy a lot
3.Hallow sweet, naelekea bank nitumie gharama za kodi, bei ya kile kiwanja ili nikuweke pesa kwenye A/C, usisahau lile deni unalodaiwa.
Yani hadi leo ndivyo unavyoamini hvo..duhh ,safar njema
5.Bae wa mimi umeamkaje???I miss you, after work nitakupita kwajili ya dinner..have a nice morn wangu.
6.Honey upo wapi??? nina bonge la surprise for you, I need to see you right now
7.Hallow darling, umeshindaje??? kuna post zimetoka hapa ofcn so mwambie Jane(mdogo wake manzi) aniletee CV zak
bado nimeshika uongozi wa chama ngazi ya kitaifa,mwenyekiti nazid kudumisha chamaMzee wangu wewe si bado unadumisha chama??? au mebadili gear??? nadhani hapa huwezi pata chochote!