MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
Hapa kazi tu "thinking loud""I would rather eat a dried crust of bread than living in the house full of tribulation".
I fail to understand and bad enough the sender is known to me .Then nimuulize au ninyamaze maana nimeshika simu nikiwa na bumbuwazi ,
Hebu andika kiswahili
Hebu andika kiswahili
Kiingereza nakielewa vema na tatizo sio kujua maana ya huo ujumbe ,tatizo ni kushituka je ni hakika ujumbe kautuma kwangu au la !
Ni afadhali kula maganda makavu ya mkate kuliko kuishi kwenye nyumba iliyojaa mateso
"I would rather eat a dried crust of bread than living in the house full of tribulation".
I fail to understand and bad enough the sender is known to me .Then nimuulize au ninyamaze maana nimeshika simu nikiwa na bumbuwazi ,
Sasa mkuu hiyo sms ilitakiwa iwe ya nani zaidi ya wewe iliyokufikia? ama kuna mtu mnapokezana namba ya simu?Kiingereza nakielewa vema na tatizo sio kujua maana ya huo ujumbe ,tatizo ni kushituka je ni hakika ujumbe kautuma kwangu au la !