MESSAGE FROM WEB PAGE (hii message inamaana gani kwa afya ya computer yangu?) NAOMBA MSAADA WENU

Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
168
33
Kuna dialog ambayo inajitokeza mara kwa mara kwenye PC yangu ambayo kimsingi huwa inanisumbua sana. Dialog hii huja chini ya heading hii:- "MESSAGE FROM WEB PAGE". Content za dialog hii zinasomeka hivi:- "Stack overflow at line: 3400". Dialog hii huwa inajitokeza hata ninapokua offline na kila ninapojaribu kui-cancel inarudia tena within a second. Kitu kinachonishtua zaidi ni kwamba kila inapojitokeza dialog hii computer yangu huwa ina-overheat kama nitaendelea kuitumia zaidi. Naomba msaada wenu wanajamii; kama **** mtu anamaelezo yatakayo nisaidia kuondokana na tatizo hili anisaidie
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
What is a stack overflow?
In software, a stack overflow occurs when too much memory is used on the call stack. The call stack contains a limited amount of memory, often determined at the start of the program. The size of the call stack depends on many factors, including the programming language, machine architecture, multi-threading, and amount of available memory. When too much memory is used on the call stack, the stack is said to overflow, typically resulting in a program crash.[FONT=宋体](http://en.wikipedia.org/wiki/Stack_overflow[FONT=宋体])[/FONT][/FONT]

Please Note: Since the website is not hosted by Microsoft, the link may change without notice. Microsoft does not guarantee the accuracy of this information.

Mostly, this issue is caused by software conflict. Please take following steps to check if it is a add-ons issue.

1. Open Internet Explorer by clicking the Start button, and then clicking Internet Explorer.
2. Click the Tools button, and then click Manage Add-ons.
3. Under Show, click All add-ons.
4. Click the add-on you want to disable, and then click Disable/Enable.
5. Repeat step 4 for every add-on you want to disable/enable. When you are finished, click Close.


 

Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
168
33
Thank you bro. I have already done it that way, let me see the outcome; I 'll give my feedback thru your private mail box. God bless you.
 

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,861
30,278
Mkuu Kipeperushi ikitokea siku ingine maandishi ya ajabu yametokea ambayo wewe huyajuwi maana jaribu kuuliza kwenye Google Serch Engine hapa ( Google) Copy and Paste Utapata jibu lako upesi sana hukulielewa lilete hapa kwenye Forums utajibiwa haraka asante.
 

Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
168
33
Mkuu Kipeperushi ikitokea siku ingine maandishi ya ajabu yametokea ambayo wewe huyajuwi maana jaribu kuuliza kwenye Google Serch Engine hapa ( Google) Copy and Paste Utapata jibu lako upesi sana hukulielewa lilete hapa kwenye Forums utajibiwa haraka asante.[/Mkuu asante sana kwa ushauri wako, tuko pamoja..!]
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom