Message from Juma Mwapachu

huyu mwapachu ni koro nn..anajifanya anajua kiingereza...^_^tell him ofisi ya Membe haipati hata kwa dawa
 
Anatafuta cheo huyo, magharasha mengine toka CCM yasutwe.
 

Sasa huo ujumbe ni kwa watz au wazungu? Basi angetafsili
 
Haya maneno yako umewaandikia Watanzania wangapi bwna Mwapachu??,,,hivi huoni kama Watanzania lugha yao ni kiswahili? Na hapa wametoka kapa??

Crimea;
It is a shame to hear such a comment. Were yu forced to read it??
Hujui hata wa kulaumu?? Mlaumu aliyekufunga macho miaka yoote 54 akikudanganya ati kiingereza ni lugha ya kifisadi usijifunze. Mwandishi amekufungua macho sasa.
Today, English is the Global language. Utaenda wapi?? Chagua mabadiliko. Usiwe kasuku ati Lowasa ni fisadi, wanayasema hayo leo kwa sababu kawaacha, mbona msimshitaki miaka yoote 8 mlipokuwa naye?? Mnauonesha udhaifu wenuuu.
 

Malofa unawaandikia kiingeredha !?
 
Haya maneno yako umewaandikia Watanzania wangapi bwna Mwapachu??,,,hivi huoni kama Watanzania lugha yao ni kiswahili? Na hapa wametoka kapa??

Ni Kweli hata Makomeo hataweza kumuelewa!

"I'm not a politicians .........."
 
eti waziri wa mambo ya nje wa ukawa !.....what a joke !
 
Shame on you Mwapachu. Where will you hide after 25th October? Lowassa will never never be Tanzania's president. The electorate will decide this coming Sunday.
 
Really good staff. Lowassa is our next president and that's the reality. We wont buy into useless propaganda and fabrication labelled against Lowassa. We have already made the decision, that we will vote Lowassa no matter what.!!!
 
Shame on you Mwapachu. Where will you hide after 25th October? Lowassa will never never be Tanzania's president. The electorate will decide this coming Sunday.

Labda KURA zisitoshe vinginevyo EL ataingia IKULU mwageni Povu mnavyoweza hazitawasaidia Mnadhani hii Nchi mnahatimiliki nayo
 

A fool
 
Uzuri na ubaya wa Tanzania yetu ni kuwa,,, Kuna werevu sn na wajinga sn Bila kujali viwango vya Elimu zetu.
 

Ni kutuchezea akili mkuu,,, wanasiasa wengi wanatudharau sn na mno wananchi wa Tanzania. Na kwa bahati mbaya sn, wenye uwezo wa kupaza SAUTI na kukemea ujinga huu wengi wao wapo nyuma ya wanasiasa hao. Ila ipo siku, ukombozi wa kweli utafika
 
We have undestood what he spoken, Dont underestmate tanzanian, we have decided, we will vote for Lowasa
 

Hiyo ndiyo maana ya mabadiliko, hata binadamu hubadilika. Walikuwa ni viongozi ama wanachama wa kawaida tu wa CCM na sasa wamebadilika, hawaipendi tena CCM. Wamehama baada ya somo la hao uliowataja kuwaingia, wakajikuta wako wrong place, wakajisahihisha wakajirudi na kuwa kitu kipya, cha ajabu hapo ni nini?.
 


Tell that to the people of Tanga and you will surely get your damn answer. Unless you are naive, for Tanga (city) politics, Mwapachu is CCM and CCM is Mwapachu. Want assurance? You will get it on Sunday!

You are playing with open fire in the presence of flammable fuel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…