Message from Juma Mwapachu

Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?

Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.

...alishawaambia mumpeleke mahakamani nyie vibuyu mbona hamsikii!!
 
.
Pedestrian politicians
... like January Makamba
.

 

Mkuu hakuna mahali nimesema kwamba CCM iendelee kukaa madarakani, nimesema pia kura yangu nampa Lowassa kwa sababu siwezi kuipa CCM kamwe.

Lakini pamoja na kumpa Lowassa, kura yangu naitoa kwa kinyongo kwa sababu Lowassa ni mwizi, na hatakaa aache kuwa mwizi, kalelewa na system ya CCM ambayo imejaa wezi, na huku anakokuja kama akichaguliwa kuwa rais atatengeneza mfumo ambao utafavor deal zake na rafiki zake walio mfinance, hivyo tegemea mfumo ule ule wa kulinda wezi kwa sababu rais ni mwizi, unaweza kuona hata saa hizi kwenye kampeni swala la ufisadi limekuwa siyo nguzo kuu ya ilani kama ilivyokuwa nyuma kwa sababu mtarajiwa hawezi kulitamka, yeye ni namba kuu kwenye kundi la mafisadi.

Lowassa akiwa rais shida zetu zitaendelea kuwa zile zile mkuu, Lowassa na kundi lake la akina Mbowe, Rostam, Karamagi, Lissu, Lema et al hawana uchungu na hili taifa, wote ni opportunists tu, ni political entrepreneurs!

Labda upinzani utakaokuja baada ya huu ninaweza kuupa imani, kwa sababu moja kubwa, hawa wakiingia then wakatoka, atakayeingia atakuwa anajua nikizubaa nitatoka pia kama wenzangu, hivyo atajitahidi kula kwa kupulizia ili aweze kulinda nafasi yake.
 
Then he deserves to be a messenger in a chamber of commerce office or a messenger in a diplomatic mission not a politician

You dont get it! Thats why I retorted that you are a rookie, too green to understand; Juma Volter has never been a practicing politician If you can get what I mean!! kwa bahati mbaya sana you are a rookie!! kuwa na kadi ya CCM haimfanyi kuwa mwanasiasa lakini he is a man of substance hapa Tanzania, a who is who in Tanzania! Unazungumzia a former ambassador to France na immediate former secretary general wa East African Community weye mburula!!!!
 
Shame on you and your companion, you can't brush our mind,except the fools ,we know what you are after guys ,but we won't let you succeed the ballots will tell, we have only five days on hand let's go
Under free, fair and peaceful election Magufuli cannot hit the target enough to be the next presida. Tanzanians are tired of CCM's unfruitful promises and economic speed. Change is necessary and mandatory now now..
 
Can you attach his original memo! Are we really putting our nation's stakes on Lowassa brand instead of a political system.. If it was a system... Mwapachu may have point but if it's more of person. A BAD BET!.. Mwapachu never uttered a word in his years a CCM political technocrat. To hear him saying all these at the 11th hour when crossing to UKAWA depicts a big picture of back stage maneuvering for reasons and cohesion known to only Lowassa's mtandao and money cards. What a shame!
 

Kwanza katika yote nashukuru ikiwa unamaanisha kwamba utaichagua UKAWA maana KURA yako niyamuhimu sana....Pia nataka uelewe akichaguliwa LOWASA Itakuwa System mpya manake itatekelezwa Ilani ya UKAWA sio mazoea ya CCM nakitu kingine nataka watapenda maendeleo tubadilike Kuna tatizo 1 watanganyika wanadhani wakishamchagua MTU basi hawana muda wakuMonitor ndio sababu CCM imetuumiza kwa miaka mingi nabado wanatuahidi nw tubadilike tunapochagua Chama or MTU baada ya 5yrs km ametudanganya tunamuondoa tukifika hapo Nchi itasogea mfano Mimi mwaka huu niko UKAWA ikichaguliwa baada ya 5yrs ikizingua usishangae kunikuta humu nikiSupport chama kingine Hakuna kitu watawala wanaogopa km kuondolewa madarakani Nchi za wenzetu zimesonga baada yakutathimini watawala wao je walitimiza walichoahidi? Mfano mzuri hapa kwetu nikwenye majimbo ya upinzani walioshinda 2010 km walidanganya mwaka huu hawana uhakika wakushinda manake atakae chaguliwa lazima afanyekazi...sasa hapa kwetu watu tangu UHURU watu wamechagua CCM then wanategemea chama hicho kilete maendeleo sijui nani kawadanganya......Kwahiyo ndg yangu pamoja na kutomkubali EL lkn umeahidi kumpa KURA sivibaya ukahamasisha wengine pia lengo Kwanza tuvunje Mgongo wa hili JOKA linaloitwa CCM then mbele tuendako NCHI itarudi kwenye Mstari lkn watu wanaoamini ktk Magufuli kwamba atakuwa najipya lakuifanyia NCHI hii zaidi yakulinda uozo wa wanaotaka kumuweka hapo......wanaota ndoto za mchana pole kwao
 

kila post upo!! Hongera sana
 
CCM lacks the effective ammunition to knock Lowassa done. Majority Tanzanians are decided on Lowassa as their next President. They will not be moved by silly and unfounded smear from pedestrian politicians like January Makamba who still fail to understand why they never made it in their premature Presidential ambitions

​nimeipenda hii!
 

Kidogo nifikiri unataka kusema mshindi safari hii atapatikana kwa matuta, maana ulivyoliingiza neno GAME nimejisahau nikaona kama ni mpira vile. Ifike tu 25th October tumalizane na mtanange huu maana kila siku ni Lowassa-Magufuli.
 

He was promised by Lowasa to be a foreign minister if he wins.Imagine Tanzania having a foreign minister called Mwapachu who is 73 years old!!! (another Robert Mugabe in Tanzania)!!!! wuuuuuuuuu!!!!!
 
Juma Mwapachu, you are a lackey and a henchman on pay!!
Ask the Church, KKKT Mbezi to be exact!!
 
Mheshimiwa balozi anatumia kidhungu kuwasiliana na supporters wa UKAWA. Teh teh teh hivi hawa wanywa viroba hata English wanaijua?? Inaonekana mheshimiwa balozi hawafahamu wapiga kura wake vizuriii. Naona balozi analeta mbwembwe tu yupo far from reality. Ndo matatizo ya kuishi Masaki miaka yote na kudhani kwamba nchi unaijuaa vizuri. Watanzania wa kule Tandahimba mheshimiwa balozi anawafahamu? Naona hapa anawa address watanzania wa urban zaidi ambao ni social media literate ambao hata hivo ni wachache sana wanaifahamu lugha anayoiongea teh teh teh. Balozi anajaribu kuchota maji kisimeni kwenda kujaza baharini
 
Kidogo nifikiri unataka kusema mshindi safari hii atapatikana kwa matuta, maana ulivyoliingiza neno GAME nimejisahau nikaona kama ni mpira vile. Ifike tu 25th October tumalizane na mtanange huu maana kila siku ni Lowassa-Magufuli.

Ha ha haaaa....mkuu hii Game lazima mshindi apatikane kwenye dakika90 tu Ukiweka tuta hapatatosha kuna watu wametia cash yao miaka mingi sasa matuta noma
 

Duh yale yaleeeeee...
 
My dear friends, UKAWA and Lowassa supporters.

Wabongo wana kiwango kidogo sana cha hekima na ziro cha uelewa, mtu kaandika barua kwa marafiki zake, wana ukawa na wale wasio marafiki zake na wala sio ukawa lakini wanamuunga mkono Lowassa. sasa naona wakwanza kujibu wala hawahusiki na barua hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…