Message from Juma Mwapachu


Yet he claims he has also been living a miserable life! Nasubiri niwaone Na wao viongozi wakilinda hizo kura mita 200.
 
Nimesoma blabla nyingi tu zilizochangia alichokisema Mwapachu. Mlitakiwa kushukuru kwa kuwafunua kutoka kwenye giza la ccm. Naamini mabadiliko yana changamoto zake na wachangiaji wengi humu ni waoga wa mabadiliko. Siwashangai bali niwatie moyo mfanye maamuzi yenye maslahi na taifa na siyo ya binafsi. Iaanalie familia yako maisha bora kesho kupitia kura yako kwa EL kwani anatosha. Acha uoga na mtazamo hasi kwani Mwapachu ana neno la kinabii na kitume kwetu. Litatufaa sana tukilitafakari kwa mapana yake kwa mazingira na nyakati tulizonayo sasa.
 


Kaka.......we we ndiohufeel absence ya mwapachu. Ni bora kuliko lundo la vizee vipumbavu vinavyowamislead
 
Huyu si alisema hana chama?? Vibaka bwana!!

Unaweza usiwe na chama lakini ukawa na mapenzi na imani kwa mgombea wa chama Fulani, mbona Dr mihogo alisema hana chama lakini akasema anamsapoti magufuli? Hapo ukushangaa?
 
Shame on you and your companion, you can't brush our mind,except the fools ,we know what you are after guys ,but we won't let you succeed the ballots will tell, we have only five days on hand let's go

why you panic?? ok, whatever its, LOWASSA gonna be our PRESIDENT.
 
the me is the reiding very cerefuly the comenting,the mwapachu is the kwishney,i em the fool education,i like magufuri bicoz he is fool education than rowasa,theafo me is sayng hapa kazi tuu chuz magufuri no rowasa
 
Balozi Mwapachu, you have hit the nail on the head. Pedestrian politicians like January should just be ignored.
 
YEHODAYA young man it seems you are less informed about Amb Mwapachu, in Tanga circles and the fratenity of technocrats know very well Amb Mwapachu!!

So for the inquisitive individual, if Amb Mwapachu, Mzee Kingunge, and the lest are abandoning CCM what are you gaining from this loten system!!
Please guys ran away from this monster CCM, cut the shackels of slaively from CCM!!
Amb Mwapachu is wright, Ukombozi ni muhimu!!
Vote for UKAWA, VOTE FOR LOWASA!!
 
Last edited by a moderator:
Mwapachu is a deceitful, conceited, self serving, know all geriatric and full of self importance. In a country of 45m with the youth of 25yrs or less totalling more than 27m, Mwapachu is finding himself badly out of tune. He feels frustrated and vents his anger via his archaic school boy English he acquired at Tabora boys school. He believes that if he speaks/writes in swahili he will sound less intellectual. He is just a puppet of the colonialists. Ushauri wa bure Juma pumzika na yule babu mutulie. Juma hajapata kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi lakini eti anarudisha kadi kwa mbwembwe na kuita waandishi utadhani ardhi ingepasuka akitoka CCM. The Mwapachu s should b the last to complain coz they hv had it so good in all the last 4 governments. Wote cheo kimoja baada ya kingine. Wanataka nini tena na hv kweli walistahili hv vyeo vyote??? Eti tu kwa sababu baba yao alishiriki kumleta Nyerere ndani ya TAA. Wamependelewa mno miaka yote hii 54 ya uhuru na kufaidi kubebwa kuliko hata watoto wa kuzaa wa Nyerere. Two months back he was touting CCM policies nyuma ya Lowassa Sasa he is touting mabadiliko behind Lowassa. He is not sure which of the two he would choose. Lowassa or mabadiliko. Confused and pathetic lot they surely are. Tch tch tch tch.............
 
We ndio wa kutilia mashaka uwezo na kujifananisha na mmwapachu, hizo siasa zenu za kurithi unakuta baba kakuwekea dhahabu juu ya kisahani cha shaba eti leo na wewe una kaa unahisi siku moja utakuja kuwa raisi wa tz kwa hayo majina ya kuchukuliwa kwenye mfuko wa juu wa kaunda suti
Acha kiburi cha madaraka ya kupewa, na huu ndio mwisho wa zama zenu tena kwa aibu
Shame on you makamba na group lako.
 

Maskani hiyo inaitwa makavu!
Ila Mzee JBM namkubalia na sio harufu njaa kufikia kwake kuichoka chama chake kama alivyofanya Mzee G.Mwiru.

 

"The wise will always be respected, I respect you Juma Mwapachu, thank you for standing with us...your experience and wisdom is needed our take over the country"
 


Nilitaka kushangaa nikadhani mtoto wa shule za Kata ambaye hata historia hajaisoma? Anyway bahati nzuri umeipitia historia na pengine siyo wa shule za Kata!

Sasa unahangaika nini wakati majibu unayo?
Kwa maana hiyo wao ni Nyereres =Mwapachus-samahani kimalkia imenishinda.
Pengine mawazo yangu hayako sawa yawezekana wenye Chama wamekimbia yamebaki makapi?
 
lowassa is likely winning the election, sir
 
Hah hahaaa mwache aandike Kiingereza humu mitandaoni,wengi wa wapiga kura hata ''the'' hawaijui na wala hawasomi JF,aendelee tu kuota kwa kudhani atakuwa Membe mpya,pia mwambieni Mwapachu aje kulinda kura zenu asisubili matokeo akiwa kwenye sofa na Whisky mezanihuku akipata kiyoyozi ,aje apambane na washawasha ndio tutajua kuwa kweli ni mwana mabadiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…