deibra
Member
- Jan 10, 2019
- 74
- 35
Ajax vs Juventus
Umeongeaa...ilaa Nina uwakikaa Barcelona kapitaaUkweli man city anasonga mbele,liverpool na barca bado wanasonga mbele.Juventus na ajax lolote laweza kutokea hii timu ina matokeo ya kushsngaza sana.
Kwa kiwango cha man hata hatua hii waliyofika bado wana haki ya kujivuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said!Ukweli man city anasonga mbele,liverpool na barca bado wanasonga mbele.Juventus na ajax lolote laweza kutokea hii timu ina matokeo ya kushsngaza sana.
Kwa kiwango cha man hata hatua hii waliyofika bado wana haki ya kujivuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanne unataka utie jamvi nini?
Nataka nikiue kile kikundi cha ngoma cha old Trafford. Messi afichwe na Phil Jones?Wanne unataka utie jamvi nini?
Man U hii kumtoa Barcelona ni future impossible tense. Ilishindwa Man U iliyokuwa na akina scholes, Beckham, Van De saa, Rio Ferdinand ije kuwa Man U yenye rashford na Phil Jones.April 9,10 marudiano April 16,17
Mechi ya Barcelona vs Man Utd.... Mashetani wekundu WANAMTOA BARCELONA na dunia nzima haitaamini kama kwa PSG
Tarehe 9 mwezi wa nne. Marudio tarehe 16 mwezi wa nne.