Afisa wa CHADEMA kanda ya Ziwa Magharibi Kamanda Meshack Micus a.k.a Mbunge wa Nkege ameendelea na operation tokomeza CCM katika Mkoa wa Kagera operation iliyoanzia Jimbola Biharamulo,na kuelekea Bukoba Vijijini,Bukoba Mjini,Nkenge na leo atazungumza na wanawake wa Bukoba Manispaa.
Katika operation hii kamanda amepokea wanachama 100 waliyo toka CCM,wanachama 20 waliyo toka CUF.Pia katika operation hiyo Kamanda amekagua na kuzindua misingi 480 ,vikundi vya akina mama maharufu kama CHADEMA GUMA ABAKAZI TULIYO.Katika operation hii Kamanda Meshack ameambatana na Mbunge viti mahalumu wa CHADEMA MH;Conchester.
Mungu ibariki CHADEMA.