Ajifanye au anywe kabisaWewe jifanye umekunywa sumu na mwambie rafiki yako yeye awe Wa kwanza kujulishwa, halafu utaona matokeo. Lakini uwe msanii kweli kweli.
ndo ukomeKama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza sms za mpenzi wangu zimefumaniwa na mchumba Wangu kipindi nimeacha Smu ndani nimeshindwa jinsi ya kujitetea kabisa ivi ameondoka kaenda kwao na kanitumia msg kuwa nisimzoee tena na vitu vingi tu
Sasa wana jamii nipeni mwongozo nifanyeje nmtumie msg gani aweze kunisamehe au nitumie mbinu gani mana namwitaji Sana mchumba huyu mwanamke
Unaa hatariii...[emoji3][emoji3][emoji3]Sio kazi yetu kushauri wasaliti.
At least angekua huyo mchumba wako ningemshauri akupige chini.
You made your own bed, you gon sleep on it!
Fact, yan unawajua wanawake vzur daaaPole sana
Ulitaka akuchekee ulivyobwege! Chamsingi hapo achana nae mazima! Kama huna ndoa, huna mtoto naye usisumbuke kumfuata!
NOTE; Endapo ukimrudia nakuhakikishia ujiandae kisaikolojia KUGONGEWA! Lazima ata Revenge!
Wanawake huwa hawasahau miaka! Atakusamehe lakini hata kuwa mgumu akiombwa! Lazima atakulipizia!
Kwahiyo halo!
We MKAUSHIE MAZIMA! We endelea na huyo Mpya! Akirudi mwenyewe mchukue na umpe mimba azae halafu ndo umuoe! Kidogo itakuwa umempunguza makali
Aiseee...na bado mkarudiana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji33][emoji33][emoji119][emoji119]Ushauri wangu ni kwamba uwe mpole na mpe muda kidogo hasira zipungue ndo umfate uongee nae na ukiri makosa.
Imewahi nitokea pia tena alisoma sms za zaidi ya mwanamke mmoja na mwingine akiwa kanitumia papuchi kabisa nayo akaona.
We! Baba wewe sumu haijaribiwi kwa kuionja.Ajifanye au anywe kabisa
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza sms za mpenzi wangu zimefumaniwa na mchumba Wangu kipindi nimeacha Smu ndani nimeshindwa jinsi ya kujitetea kabisa ivi ameondoka kaenda kwao na kanitumia msg kuwa nisimzoee tena na vitu vingi tu
Sasa wana jamii nipeni mwongozo nifanyeje nmtumie msg gani aweze kunisamehe au nitumie mbinu gani mana namwitaji Sana mchumba huyu mwanamke
Sasa muongozo wa nn,si akiba unayo hapo?!!! Endelea na mchepuko,hiyo ni moja ya faida kede kede za kutokuwa mwaminifuKama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza sms za mpenzi wangu zimefumaniwa na mchumba Wangu kipindi nimeacha Smu ndani nimeshindwa jinsi ya kujitetea kabisa ivi ameondoka kaenda kwao na kanitumia msg kuwa nisimzoee tena na vitu vingi tu
Sasa wana jamii nipeni mwongozo nifanyeje nmtumie msg gani aweze kunisamehe au nitumie mbinu gani mana namwitaji Sana mchumba huyu mwanamke