NASEEB HASSAN
Member
- Oct 7, 2017
- 42
- 27
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza sms za mpenzi wangu zimefumaniwa na mchumba wangu kipindi nimeacha Simu ndani nimeshindwa jinsi ya kujitetea kabisa ivi ameondoka kaenda kwao na kanitumia sms kuwa nisimzoee tena na vitu vingi tu sasa wana jamii nipeni mwongozo nifanyeje nimtumie sms gani aweze kunisamehe au nitumie mbinu gani mana namwitaji Sana mchumba huyu mwanamke