Sikubishii ila mi nimeelewa au nimewaza tofauti.
Hapana hausiki anaposema kupitia simu ya dorothy wanamaanisha ni Handset tu kumbuka wale so called majambazi walimnyang;anya simu wakatupa line kwahyo walichomeka line yao(hapo ndio walipokosea) so kupitia line yao iliyochomekwa kwenye simu ya mwalimu dorothy ndio ikawa rahisi kufatilia hyo namba(iliyochomekwa kwenye simu ya mwalimu dorothy) ndio wakagundua hizo message,umeelewa?
Uzinzi Shirikishi kazini!
Naomba unieleweshe... Hivi kuna uwezekano wa kufatilia handset ya mtu bila Kujua IMEI ya handset yake? Na Kama sivyo, Inamaana polisi walikuwa na IMEI ya handset ya Mwalimu Dorothy b4? kama walikuwa nayo huoni kulikuwa na dalili ya kumtilia mashaka ndo mana wakamfatilia?
wafanye upelelezi wa kina wasije wakawasingizia watu kisa kulipiza kisasi
Naomba unieleweshe... Hivi kuna uwezekano wa kufatilia handset ya mtu bila Kujua IMEI ya handset yake? Na Kama sivyo, Inamaana polisi walikuwa na IMEI ya handset ya Mwalimu Dorothy b4? kama walikuwa nayo huoni kulikuwa na dalili ya kumtilia mashaka ndo mana wakamfatilia?
Inamaana hao wauwaji walikuwa wakiwasiliana na Doroth kwa ujumbe mfupi kwenye simu yake ili kutekeleza mpango wa mauaji.
Naomba unieleweshe... Hivi kuna uwezekano wa kufatilia handset ya mtu bila Kujua IMEI ya handset yake? Na Kama sivyo, Inamaana polisi walikuwa na IMEI ya handset ya Mwalimu Dorothy b4? kama walikuwa nayo huoni kulikuwa na dalili ya kumtilia mashaka ndo mana wakamfatilia?
Walikuwa hawataki tu, wakingurumiwa wanatoa IMEI , tena smartphone?? lazima wanayo.mimi kuna masela fulani walinitapeli maeneo ya victoria wakaondoka na iphone 4 yangu... nikaenda tigo wakadai hawawezi kuipata imei yangu wafunge simu...ama wamkamate anaetumia..so unamaanisha walikuwa(wafanyakaz) vilaza??
Hivi ndivyo ilivyokuwa au umeweka chumvi? Jamaa walimvizia kiasi kicho?Kamanda Barlow alifia kinenani. Hakuna uchunguzi hapo. Leka dutigite muuaji mmoja wa polisi kapungua.