VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
- Thread starter
-
- #21
Mkuu kilichoniliza ni hiki.Kwanza nani kawapa nambari yangu? Kwanini wafanye mchezo kama huo? Nioneni mjinga,mzandiki,muongo,mwoga na kadhalika lakini huo ndio ukweli. Ni humu humu jamvini nilipotukanwa kwa kusema kuwa Madaktari wangegoma tena.Yalipotimia sikuombwa msamaha. Ngoja niwe msahimilivu tu Wakuu wangu...We jamaa hebu acha fitna..haiwezekani uifute hiyo namba. Kwa azingira yetu tulivyo tunafowadi SMS zenye muelelekeo km huu kwa ndugu jamaa na marafiki iweje wewe ulie kisha uifute. Sasa kama umeifuta hatuna haja ya kukuamini..
Mkuu ni ngumu mtu kukuamini kwasababu hujaleta ushahidi.Mkuu kilichoniliza ni hiki.Kwanza nani kawapa nambari yangu? Kwanini wafanye mchezo kama huo? Nioneni mjinga,mzandiki,muongo,mwoga na kadhalika lakini huo ndio ukweli. Ni humu humu jamvini nilipotukanwa kwa kusema kuwa Madaktari wangegoma tena.Yalipotimia sikuombwa msamaha. Ngoja niwe msahimilivu tu Wakuu wangu...
Siwezi kuamini.Kweli Tume iliyosheheni Wasomi wa Sheria wabobezi inaweza kucheza mchezo mchafu kama huu?! Ni hivi,leo asubuhi nimepokea ujumbe kwenye simu yangu ya mkononi. Ujumbe ( ingawa siwezi kuukumbuka neno hadi neno kwakuwa niliufuta haraka kwa woga mkuu) unanifahamisha kuwa nijiandae kwenda Mafia kutetea msimamo wa Tume juu ya Maoni ya Katiba. Sehemu ya Ujumbe huo unasema ifuatavyo : 'tuna taarifa kuwa wewe ni mzaliwa wa Mkoa wa Pwani'.
Ujumbe ukaendelea:'Wilaya yako ya Kibaha haipo kwenye orodha ya Wilaya za mwanzo kukusanyiwa maoni yako ya Katiba. Kwa kuzingatia umuhimu na weredi wako wa kisheria,tunakualika uambatane nasi kwenda Mafia kwa ajili ya kushiriki kwenye Ukusanyaji wa Maoni ya Katiba Mpya. Utafanya hivyo tena Wilayani Kibaha. Tutakuwa na Kikao cha uelekezi tarehe....' Nilipofika hapo nikaufuta na kuanza kulia. Nikachanganyikiwa hadi kusahau kuitunza nambari ya aliyenitumia ujumbe.Wakinikumbusha,nitaiweka nambari hapa jamvini. Nisameheni kwa 'kupanic' kwangu...
Nashindwa kuamini na kuendelea kuandika habari hii. Kwakweli nimelia sana asubuhi ya leo. Kumbe watoa maoni wa Katiba Mpya ni Mamluki? Maoni yenyewe kumbe sio huru na ya haki.Hapa tulikofikia,inahitajika v... au? Sina imani na chochote juu ya lolote la Serikali na Tume.Kamwe...
Ngoja niendelee kukata majani ya ng'iombe.
Wewe siyo mvivu wa kufikiria bali mzembe wa kufikiriaSiwezi kuamini.Kweli Tume iliyosheheni Wasomi wa Sheria wabobezi inaweza kucheza mchezo mchafu kama huu?! Ni hivi,leo asubuhi nimepokea ujumbe kwenye simu yangu ya mkononi. Ujumbe ( ingawa siwezi kuukumbuka neno hadi neno kwakuwa niliufuta haraka kwa woga mkuu) unanifahamisha kuwa nijiandae kwenda Mafia kutetea msimamo wa Tume juu ya Maoni ya Katiba. Sehemu ya Ujumbe huo unasema ifuatavyo : 'tuna taarifa kuwa wewe ni mzaliwa wa Mkoa wa Pwani'.