Merlin season 6 ....


Merlin haijaishia season 5 bali mkataba wao na bbc ndo uliishia season 5 wakaingia mkataba na media nyingine ambapo iliwataka wacheze ya mjini.
Mimi merlini season 6 ninayo sema ina boa na nipo nayo bado
 

kuita website zote kubwa duniani include bbc wenyewe ambao ndio watengenezaji haimake sense kaka, jamaa walirun out of ideas ndio maana bbc wakaicancel. bbc kama kampuni kubwa walitakiwa watafute mtu atakaeindeleza.

kama hufahamu merlin ni kama huku tunavyohadithiana habari za sungura na fisi, mwanamalundi nk story yake ipo na kuna vitabu kibao vinaelezea. jamaa mwishoni wameistrip story saaana ndio mana wakak0osa idea.

kwenye version nyingi inaonesha mambo haya
-merlin alikua mwalimu wa morgana (part hii imeoneshwa kidogo)
-morgana ana dada watatu au tisa (hii wameitoa)
-history ya merlin ametoka kwa demon
-merlin ni mkubwa kuliko arthur

na mambo mengi siyakumbuki ila ukitaka nipitie naweza kuja kuyasema, usiwatetee kaka series imekuwa canceled nenda google andika merlin canceled zitakuja result za website zote kubwa kuanzia bbc wenyewe, yahoo, mirror, guardian nk
 

Ukisema ime be cancled ni sawa ila coz season six ilitoka vipande vitatu kama sikosei from apo hawajatoa tena
 
This is a dead story now..ndo maana hata hawa wanaosema wanayo au wameiona hawaeleweki..
Ni vema watuambie,je:
1. hiyo S06 imeanza kutoka lini na ina episodes ngapi
2. story inaanzia wapi - maana mwisho wa s05 arthur amekufa,dragon kaondoka,merlin ameondoka kurudi alikotoka na maisha yanaendea ktk camelot huru chini ya gwan
3. je nani king wa camelot,maana mwisho wa s05 gwan ndio alikuwa head of kingdom
4. the whole story ni juu ya camelot as a kingdom..sasa huko mjini ndo camelot?
5. mbona itoke kimya kimya..maana yake nini?

Nina shaka huenda watu wanazungumzia story nyingine ambayo characters wake baadhi ni wake waliocheza merlin.
 
Ushauri wa bure tu, series za bbc na sky huwa haziishi maana jamaa wana akili za ajabu. Series ikipendwa tu wanai discontinue
-merlin
-sinbad
-atlantis
-misfit (am not sure kama ni bbc)

Jamaa wana series nzuri ila zote zinaishia kati.

Viewers wakipungua wanaachana nayo
 
Mkuu hakuna haja ya ku-google wakati story inajulikana kwamba uamuzi wa kuimalizia pale ilipomalizika ulikuwa ni uamuzi wa creators walitaka imalizikie hapo ilipomalizika na sio kuirefusha sababu tu inapendwa (kwahio tangia mwanzo it was meant to be five seasons... hii ni straight from the horses mouth na sio habari za forum au blogs); Naomba hio link ya BBC inayosema Merlin ilikuwa cancelled na sio finished...

Kuonyesha siongoe story za kwenye Gahawa ngoja nikupe link from BBC
http://www.bbc.co.uk/mediacentre/latestnews/2012/merlin-final.html


Cancellation mara nyingi hutokea kwa aina mbili either unaambiwa kwamba tunakupa season moja ya mwisho malizia kazi kwa episode kadhaa (refer fringe, Lost, Revolution n.k.) au unamalizia season hata kabla hauja- conclude story ukidhani utarudi unaambiwa mwaka kesho hatukupi au upo kwenye season hata episode hazijaisha unaambiwa mwaka kesho hatukupi.. Refer Almost Human
 

kwanza kumuita creator haipendezi ni kama kumuita peter jackson ni creator wa lord of the ring badala ya author wa kitabu

mimi pia siongei habari za gahwa link ya bbc kuwa imekuwa axed
Merlin to be axed after fifth series ends in December - BBC Newsbeat
 
Merlin haijaishia season 5 bali mkataba wao na bbc ndo uliishia season 5 wakaingia mkataba na media nyingine ambapo iliwataka wacheze ya mjini.
Mimi merlini season 6 ninayo sema ina boa na nipo nayo bado

Mkuu Merlin mwisho ni season 5 episode ya 13 na mara nyingi usifuate zile CD za Piracy za Kibongo wanazokata episodes ili wauze...,by the way Merlin.., King Arthur n.k. hawa ni figures ambao wamehadithiwa sana kwahio hata kesho anaweza akaja mtu akatoa Merlin nyingine ambayo inaweza ikawa narrated tofauti...., Je MErlin yako iliendelea baada ya hapa?


[TABLE="class: episodes"]
[TR="class: episode"]
[TD="class: nums"] S 5 : Ep 13 [/TD]
[TD="class: title"] The Diamond of the Day, Part 2 [/TD]
[TD="class: date"] Aired 12/24/12 [/TD]
[TD="class: watch_now"] go
[/TD]
[/TR]
[TR="class: episode"]
[TD="class: nums"] S 5 : Ep 12 [/TD]
[TD="class: title"] The Diamond of the Day (Part One) [/TD]
[TD="class: date"] Aired 5/24/13 [/TD]
[TD="class: watch_now"] go
[/TD]
[/TR]
[TR="class: episode"]
[TD="class: nums"] S 5 : Ep 12 [/TD]
[TD="class: title"] The Diamond of the Day, Part 1 [/TD]
[TD="class: date"] Aired 12/22/12 [/TD]
[TD="class: watch_now"] go
[/TD]
[/TR]
[TR="class: episode"]
[TD="class: nums"] S 5 : Ep 11 [/TD]
[TD="class: title"] The Drawing Of The Dark [/TD]
[TD="class: date"] Aired 12/15/12 [/TD]
[TD="class: watch_now"] go
[/TD]
[/TR]
[TR="class: episode"]
[TD="class: nums"] S 5 : Ep 10 [/TD]
[TD="class: title"] The Kindness Of Strangers [/TD]
[TD="class: date"] Aired 12/8/12 [/TD]
[TD="class: watch_now"] go
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kwanza kumuita creator haipendezi ni kama kumuita peter jackson ni creator wa lord of the ring badala ya author wa kitabu

Duh kaazi kweli kweli....,hivi unaweza kulinganisha brainchild ya mtu ya story (Lord of the Rings) au Harry Potter ambayo mwandishi ametunga kila kitu from character etc na Movie iliyotengenezwa kuhusiana na legends ambayo kuna versions tofauti tofauti na sio story iliyotoka kwa kinywa cha mtu mmoja ?

Kwahio leo wewe ukija na Mkwawa Merlin utakuwa creator wa hio Mkwawa Merlin tofauti na ukija na Movie ya Kingo au Masoud Kipanya siwezi nikakuita creator.....

mimi pia siongei habari za gahwa link ya bbc kuwa imekuwa axed
Merlin to be axed after fifth series ends in December - BBC Newsbeat

Mkuu umesoma habari yako ndani au umesoma heading peke yake ?

 

kaka seems tutabishana bila kufkia conclusion, ok hawaijacancel ilitakiwa iishe season 5 na watu wote wanaosema wameicancel kuanzia guardian, mirror hadi bbc wenyewe hawajui.
 

Jamani ni merlin coz inakuwa inaenda na flash back ambayo ather atakuja kuzaliwa upya..ila idea ni tofauti na pia mkataba wao na bbc uliisha.
Kuna mtu alikuwa anaidownload ila ilipofika epsod ya nne haijatoka tena.
Inaitwa merlini na wapo vile vile
 
kaka seems tutabishana bila kufkia conclusion, ok hawaijacancel ilitakiwa iishe season 5 na watu wote wanaosema wameicancel kuanzia guardian, mirror hadi bbc wenyewe hawajui.

Mkuu tusifanye ubishi wa kitoto wewe umeleta link ya bbc Newsbeat ambayo ndani yake wameeleza kila ninachosema mimi kwamba uamuzi wa creators ulikuwa umalizie pale ilipoishia na sio kuwa forced kurefusha series just because they can (which means haukuwa uamuzi wa BBC kuwakatisha bali it reached its natural end...... by the way hayo sio maneno yangu)
 

seems hujapata point.
-aloleta idea imemishinda
-bbc wameicancel

easy inaeleweka, sasa wewe unaforce kwamba ilitakiwa iishe vile, story ya merlin watu wanaijua even wewe una chance ya kuisoma hivyo utaona vipande kibao vimekatwa ambavyo ilitakiwa vioneshwe. na nikamention series nyengine hapo juu hii ni tabia ya bbc imezoeleka kila mtu anawajua ya kukatisha series.

hao ma actor/actress hawana say sababu wao hawahusiki wao watasema mambo mazuri tu kwasababu wanapandisha cv yao wao ni waajiriwa tu, ukweli wenyewe wanajua walioleta hio idea na bbc wenyewe, wala sio mimi au wewe. kama ilitakiwa iishe season 5 why hatukuambiwa toka mwanzo? angalia series kama star wars, lotr, got nk zote zinajulikana mlolongo wake unavyoenda. haiwezekani mtu unalala unaamka unaambiwa kuwa merlin inaisha.

kaka if you need hata source 100 nitakupoa merlin imekua axed/canceled/imesitishwa
 
seems hujapata point.
-aloleta idea imemishinda
-bbc wameicancel
Usilete kiswahili kirefu kaka creators ndio wameamua kumalizia hapo walipomalizia (sijui hii information ya kwamba walileta idea ikawashinda umeitoa wapi....

BBC wasingeweza kuendeleza kitu ambacho hakipo... hivi kuna logic ya mimi creator kusema hapa ndio mwisho alafu .., wewe studio una-cancell ? sasa una-cancell kitu ambacho hakipo... ?

Kosa unalofanya ni kulingisha / kuoainisha King Arthur Merlin Legendary Stories (Ambazo zipo Millions ) na hii creation ya hawa watu....

Mimi leo naweza kuleta movie ya Mkwawa nikaelezea maisha yake alafu nikamalizia kifo chake..., hauwezi uka-force kwamba kuna part two sababu sikuongelea vita vya Maji Maji...., mfano mzuri ni hii Games of Thrones ya sasa inavyo-divert kwenye vitabu siku wakiamua kuimaliza huwezi uka-force kwamba haijaisha sababu haifanani na vitabu

For your information katika TV Networks percentage wise kulinganisha na kina NBC na Most American Networks BBC has the lowest cancellations (sababu at least hawa hawaendeshwi na viewers statistics kama hizi networks nyingine ambazo zipo more commercial oriented)
 
na nikamention series nyengine hapo juu hii ni tabia ya bbc imezoeleka kila mtu anawajua ya kukatisha series.

Mkuu ume-mention

Merlin - Haijawa cancelled na BBC creators wameisitisha
Sinbad - Hawa ni Sky
Misfits - Channel 4
Atlantis - BBC

Sasa mkuu compare cancellation za TV Networks nyingine alafu uniambie hao BBC wenye tabia ya cancellations kuliko wengine ni kina nani
 

soma vizuri comment ya juu nilisema bbc na sky na misfit niliieka kwenye mabano hiyo siku na uhakika so tumepata mbili hapo right?

1.merlin
2.atlantis

tuendelee na list

3. dr who - kwa waangalia series wa zamani hii ni series ya mda mrefu sana na inapendwa pia bbc waliicancel
Steven Moffat: It Was Stupid Of BBC To Cancel 'Doctor Who'

4.luther- hii author wake mwenyewe ndie alitoboa siri
"Luther" Creator Says Season 3 Will Be The Last Before Bi | Shadow and Act

5.upstairs downstairs
Upstairs Downstairs is axed, but did it really have to die? | Television & radio | The Guardian

hizi tano zinatosha kuprove maneno yangu. uliza mtu yoyote ambayo yupo updated na series kuhusu show za bbc uone atakupa jibu gani
 

Also Atlantis story imeishia njialanda
 

Hapo hapo inaonekana kweny vitab arthur baada ya kuchomwa kis na sir modred alipelekwa kweny kisiwa cha avalon na akapona bt ktk series Arthur alifia njia wakat anapelemwa avalon bt great dragon alisema The young pendagron will rise again when albion need him coz is the one and future king hapo ndo palipoleta utata ambapo ilifaa s6 iwepo o hata mid series ingetosha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…