donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
salaam wakuu,
hii app sijui ni kwanini imegoma kurun kabisa kwenye simu yangu, nikajaribu kufanya installation kwenye simu ya rafiki yangu still ikakataa. Kwa sasa inabidi nitumie native browser au other browsers kubet. Je, kuna mkuu ambaye kwake app hii ina f(x) ? ambaye yupo located +255?