Mercy Johnson wa "from dar to lagos" huyu hapa!!!

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
65
msanii huyu wa kike ni maarufu sana nollywood kama alivyo mwenzake genevieve. ama kwa hakika amecheza filam nyingi sana ikiwepo hiyo niliyotaja akishirikishwa na kanumba. pengine wakuu wengi mmemzoea kwa sura tu. huyo ndiye mercy johson ninayemzungumzia. uwe huru kutoa comments. no limitation so long as you adhere to forum rules.



mercyjohnson.jpg
 
mbona saa nyingine anaonekana ana kijungu fulani hivi, weka picha zingine bana
 
aki-act malovee huwa ana jicho flani la kutoa nyoka pangoni. Napenda sana uwezo wake wa ku-act...
 
Kiukweli hamfikii dem wangu, sio2 kwasab nampenda ila ni kwasab yeye ni mkali kuliko huyo Mercy sema2 yeye sio maarufu.
 
afadhali umesema ukweli tasia 1 khs umaarufu wa shemeji yangu!! ila naamini yu bomba kwa jinsi ulivyomsifia.

mercy_johnson-cnp5.jpg
 
Jameni, uzuri wa mtu si sura ni tabiaa!! dada yuko natural anatosha kumuweka ndani kusonga mbele na maisha!!:dance:
 
Back
Top Bottom