Mkuu umeamua umuite Mkurugenzi kabisa, nimecheka sana😀😀
Wow gari classic sana hizi😋😋 tujipange tuchukue eehfinancial services babe achana na kitakataka kile hebu njoo uku kwanzak
Anatembelea baiskeli anazoita gariMkuu umeamua umuite Mkurugenzi kabisa, nimecheka sana
2059 mwezi wa12Wow gari classic sana hizitujipange tuchukue eeh
Ila sasa kama ile tu imechukua mda mrefu hivi, hii itakuaje
Yeuwiii tutakua tushakua vibibi na vibabu😀, acha tupapambanie ile IST tuu2059 mwezi wa12
Baki nayo tuu, mi napenda IST new model bana😜Benz hiyo!ooohhh shauri yako!
Bibi finanshieriiYeuwiii tutakua tushakua vibibi na vibabu, acha tupapambanie ile IST tuu
Na babu Kelifini 😀Bibi finanshierii
😀😀😀😀 UtaniuwaNa babu Kelifini 😀