Car4Sale Mercedes Benz ipo sokoni

Mafian cartel

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2021
Posts
4,209
Reaction score
7,780
Ndinga kali kwa ajili ya mtoto wako ipo sokoni,changamkia fursa mtoto afurahie likizo yake


Gari ina sifa zifuatazo

Gari ni ya kuchaji(12v battery)

Inawashwa na funguo

Mtoto anapanda na kuendesha mwenyewe

Ina music system(Usb port,children songs)

Milango inafunguka

Inawaka taa za mbele na nyuma

Inafaa watoto wa umri wa miaka 1-10

Price:320,000/=

Tunapatikana Tabata Dar es salaam

Tunafanya delivery popote Tanzania


Call/Whatsapp:0764108259
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…