Mercedes Benz G-class hii machine imesimama balaa

Sure maana kama ni ubora sio kwa kutoa $ 25,000 gari ya 1997 miaka 22 iliyopita isitishe maiage inasoma 150,000 km!
Hapa ulipia brand sio bure

Siezi toa pesa zote hizo kwa technology ya 97 hapo ni unanunua body hamna kitu huko mgari una mileage miaka yaya shetani

Bora nisubiri wakiuza LX za serikali ninunue ila sio hio gari
 
Naona Mnyama GT-R r34 vs r32.

US Kwenyewe wakiona hizi machine barabarani hua wanaenda kuishangaa hio gari,utasikia is this car a Skyline GT-R?Is it legal in US?Hahah car enthusiast hicho chuma wanakijua vizuri.
Hatari sana hiki chuma.. hata bei zake zimesimama haswaaa 😀😀😀
 
Hii ni kama ya jamaa tu ...kilichofanyika hapa ni kui upgrade hakuna manufacturer wanatoa gari hivo...hapo wamedizaini kivingine bonet wakanyanyua ,new tires, new mkonge, ila mileage ni miaka ya shetani pia utakuta ni gari ya zaman sana hiyo
Sio sawa na toyota
 
Hii machine sikua naifaham.... Chuma cha 1990 bei imesimama kiasi hicho?
Hii hapa ya 1989.. kabei kake utakapenda mwenyewe 😀😀.. mng'ato

Screenshot_20200426-161157_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom