Mercedes Benz E class

Mercedes Benz E class

¹ Service history + ² genuine parts + ³ dealership ( reputable mechanic )= stress free (utanishukuru baadae)

Ukisikia mtu anakuambia hilo gari au aina flani ya magari achana nayo atakuwa amefeli kwenye hii triangle na akashindwa leta uwiano sawa kwa gari lake
 
Mkuu nachukua ya 2016 bei hazija pishana sana
2016 si W213? Kwa nje haijapishana sana (na mtu anaweza asijue) na generation ya nyuma yake W212.
IMG_5924.jpeg


Ila kwa ndani ndio naona kuna mabadiriko.
IMG_5925.jpeg

Unanunua wagon au sedan?
 
Habari Hum B ,

Ni chaguo zuri tu

Machache muhimu unayopaswa kuzingatia ni haya

1. Uendeshaji & Comfort:

Kwa hakika ni Excellent, smooth, na yenye ride quality, huku ikikupa ile feeling ya solid na comfortable kwaajili ya safari ndefu
( Kama wewe ni mtu wa masafa marefu )

2. Luxury Interior:

Ina High-quality materials, na refined design, pamoja na comfortable seats, bila kusahau ample space, pamoja na newer models featuring a column shifter kwaajili ya console space zaidi.

3. Strong Performance:
Ina Powerful engines (V6 petrol, efficient diesel) ambayo inakupa acceleration nzuri, ikiwa na available 4MATIC all-wheel drive.

4. Safety:

Hadi sasa Imaeneo mengi duniani kulingna na watumiaji wake imepewa High safety ratings
(Top Safety Pick+ for sedan)

Yenye advanced features kama vile Collision Prevention Assist Plus, Attention Assist, na blind-spot monitoring.

5. Style na Body Options:

Zipo Available kama sedan, wagon, coupe, na convertible, yenye classic, elegant design.


Changamoto zake :

1. Gharama za juu za umiliki:

Expensive maintenance, uhitaji wa synthetic , pamoja na costly repairs kwaajili ya sensors electronics haswa kama ulimunua tu kichwa kichwa.

2. Potential Reliability Issues:

Tarajia sana Electrical gremlins na sensor failures kama ni chqngamoto common
Ikiwa unampango wa kukaa nayo sana mfano after ~5 years; early 7-speed automatics yaweza kuwa clunky.

3. Engine Specifics:

Hii direct-injection E300 engine inaweza kusumbuliwa sana na ugonjwa wa f carbon buildup kwenye intake valves.

Hitimisho :

Kama tulivyotangulia kusema hapo juu kwamba sio gari mbaya , ni bonge moja la luxury cruiser yenye great ride na features.

Hata hivyo ni muhimu kufahamu kuhisniana na high running costs zake pamoja na masuala yahusianayo na umeme yanayotokana na umri wa garii, hivyo tunapendekeza kabla ya kununua gari iwe imelaguliwa vizuri na wataalamu
Wenye taaluma yao kabisa kwenye myanja hii haswa a dedicated Mercedes specialist

Kupitia Mtandao wetu mpana wa wataalamu kwenye Nyanja hiyo, sisi kama @morning_joy_motors tunaweza kukusaidia ikiwa utapenda kutumia huduma yetu. Kabla ya manunuzi ya gari wataalamu wetu walioko huko nje wataikagua gari kwa ukaribu sana na khtupatia report nzima ya hali ya gari kabla ya kufanya manunuzi - Sisi kama kampuni tunabeba dhamana hiyo kuhakikisha ubora wa hali ya juu wa chombo chako tunachokuletea

TUPO ARUSHA KALOLENI KWENYE JENGO LA CONDO HOTEL LILILOPO MKABALA NA SHALOM CHURCH

OFFICE NUMBER 016 GROUND FLOOR


☎️ : +255797113153
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom