Hum B
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,065
- 1,540
Mkuu nataka W212 ya 2015Chuma kali mkuu. Mid-size sedan hiyo inagombana na wakina 5 Series, A6, Lexus ES nk.
Ila kabla hatujaenda mbele, unataka exactly generation ipi? Forth Gen (2019-2015) wenyewe wanaiita W212 au Fifth Gen (2016-2022) au kwa code ya W213.
As long sio first car naamini utaimudu mkuu. Hafu ushuru wake sio wa moto sana.Mkuu nataka W212 ya 2015
Mwaka hui huo chukua E250 7G-Tronic. Katika gari za Mjerumani Benz iko reliable zaidiWakuu habari za uzima, kwa wajuzi wa magari nataka kununua mercedes benz E class E350 au E300 ya 2015 naomba kujua pros and cons za hii gari. RRONDO Mad Max Mshana Jr JITU LA MIRABA MINNE Extrovert ,na wengine wajuzi wa magari nahitaji maoni yenu.
NB:Siyo gari ya kwanza kumiliki
Acha utani?!!Ushuru umepoa mkuu inacheza 14m
Ha ha ha ha sasa mimi gari fupi mwisho Crown. Mimi ni mwendo wa E class,5 series. Hayo madude marefu yametulia barabarani balaa. Kona za highway unalala nalo tu .Chuma kali mkuu. Mid-size sedan hiyo inagombana na wakina 5 Series, A6, Lexus ES nk.
Ila kabla hatujaenda mbele, unataka exactly generation ipi? Forth Gen (2019-2015) wenyewe wanaiita W212 au Fifth Gen (2016-2022) au kwa code ya W213.
Ila yoyote utakayochukua E Class ni kali. Kikubwa jitahidi sana preventive maintenance, usisubiri Tatizo likue ndio ufix.
Wazo tu: Hivi mnawezaje kuendesha gari refu vile? C Class ndio naonaga perfect size, kama 3 Series ya BMW ila 5 Series na E au S naonaga marefu sana kama semi.
Huwezi amini. Hafu CIF $6000 -7000 unapataAcha utani?!!
pamoja mkuuMwaka hui huo chukua E250 7G-Tronic. Katika gari za Mjerumani Benz iko reliable zaidi
Kuna rafiki yangu aliniomba ushauri kablq hqjachukua nikamwambiq qchukue hio anayo tangu 2018 .
Uwe mstaarabu kama gari yenyewe. Siwezi kuzungumzia gharama maanake hadi umeamuq kununua hio MB maanake unajua unachofanya.
2018 mpaka 2020 hio hadi uwe nayo mtaani ilikuwa 65-70mBei chee una pata ndinga ya adabu