Yeah. Ila SUV S Class (GLS) ni kubwa sana, kama ki minivan fulani hivi.Kina siku niliride back seat kwenye S Class. Ile gari ipo silent hadi unahisi hamtembei.
Mimi mpenzi wa Sedan, labda familia ndio itaforce 2nd car iwe Minivan. Sijawahi penda SUV. Nazitamani tu kwa macho ila kuzimiliki sijawahi penda.Yeah. Ila SUV S Class (GLS) ni kubwa sana, kama ki minivan fulani hivi.
Ile na BMW X7 kuwa nayo inabidi uwe na familia kubwa.
Wamejaribu kiasi chake ila kufanikiwa 100% bado. Kwamba ukishachaji ndio iwe mazima sidhani. Law ya conservation ya energy inakataa.Watengenezaji wa umeme wame fail kutengeneza mfumo wa gari kuji charge jinsi linavyotembea
Mercedes wamechelewa sana kuingia kwenye game la fully electricHahahahaa Mercedes hawafanyi vizuri kwenye EV. Tulia na Tesla.
tatizo betry litaheat sana .. ila wanaweza mkuu ni rahisi tu.Watengenezaji wa umeme wame fail kutengeneza mfumo wa gari kuji charge jinsi linavyotembea
🙏tatizo betry litaheat sana .. ila wanaweza mkuu ni rahisi tu.
A matter of time tu. Watapaswa kuwa na motor kwa ajili ya kufua umeme,Battery kwa ajili ya kusukuma gari, wheels(mbazo tayari zipo kwa ajili ya kuzungusha motor inayo fua umeme unaotunzwa kwenye battery na baadae kusambazwa kwenye gari watu hawajalala. + Teknolojia nyingine ambayo sijaitaja hapoWatengenezaji wa umeme wame fail kutengeneza mfumo wa gari kuji charge jinsi linavyotembea
Kwa jinsi teknolojia inavyokua inawezekana kwa sasa wataalamu wengi focus ni kwenye gari ndogo, BRT buses na fully electric trucksUwezekano wa ma bus ya umeme kusafiri safari ndefu ni mdogo
Hii ina muonekano mzuri zaidi kuliko ile sedan iliyopo sokoni sasa hivi.Mercedes Benz wamezindua C Class with EQ Technology, ambayo ni sedan ya umeme tu. (Haina maana kwamba C Class ya ICE imekufa, hapana, ipo)!
View attachment 3577041
C Class with EQ Technology Mercedes waliiteaser mwaka jana walivokua wanazindua GLC with EQ Technology, ila officially imezinduliwa jana tar 20 April.
View attachment 3577042
Kwa sasa wamezindua version moja tu, C400 4MATIC with EQ Technology, inayokuja na motor mbili, AWD, 480 hp, na battery ya 94 kWh itakupa kilometa 800.
View attachment 3577044
Kama kaka yake GLC, hii sedan inakuja na grille ya LED, hii mkiguswa na bodaboda tu msiba, na pia ina three-pointed star logo inayowaka.
View attachment 3577045
Ndani kuna hyper screen ya inch 39, heated and massage seats, mziki mnene, panoramic roof, na mengine mengi.
Japo ukiweza kununua hiyo swala la umeme kwako sio changamoto ila naomba kuuliza.Mercedes Benz wamezindua C Class with EQ Technology, ambayo ni sedan ya umeme tu. (Haina maana kwamba C Class ya ICE imekufa, hapana, ipo)!