Menyu za makabila

huyo alyepika kumbikumbi aniletee muda wa lunch maana umeshafika tayari kwani mate yananitoka sana hapa nachafua computer nikiwaona
ngoja nitoke nje kidogo maana mmh!
 
uswe bha ku Mbeya tukulya i mbalagha, kipome ni kisyesye.
Ngun'yani, ama jubhi, ilya nyungu ... Mwe kukaja kununu
Ndagha fijho un'kulumba, ungumbwisye ikisyesye!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…