donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Chukuchuku hii mkuustail gani ya nyama iyo
Nyama mkuuMboga gani hiyo
HuhuhuhuhuWe jamaa unavopenda kula utakuwa na matako makubwa bila shaka
We jamaa unavopenda kula utakuwa na matako makubwa bila shaka
Yeah sema hua sijichoshi na watu kama hawa mkuu they dont mattar to meSio poa hata kidogo, sio lazima ucomment unaweza pita kimyakimya
stail gani ya nyama iyo
Hahah hii ilikua ya supu nkaona sio poa ngoja nipige na ugali kabisa na ka yoghurt kidgona wasi wasi na nyama le don himself ! nahis itakuwa haina radha sijui !lol
Hahah hii ilikua ya supu nkaona sio poa ngoja nipige na ugali kabisa na ka yoghurt kidgo
We jamaa unavopenda kula utakuwa na matako makubwa bila shaka
Hahah yeah mkuuhehhe kumbe yoghurt yenye flavor ya berries hahaha salute !