menu plan, heeeelp pliiiiz

Kwa hesabu ya haraka haraka nyie wawili hakuna atakayekuwa na uzito chini ya kg 90! Khaaa!!!

Aaa wapi,
unaweza kuta ni wembamba wa reli juu treni inapita.
Usihadaike na misosi babu,si unajua menyu ndo mpango mzima!!!,
Siku nialike nije kwako kukupikia vinono hadi ujilambe.
 
Kwani ukilambwa mpishi ! Nini mbaya ?
Mbona umeshtuka kiivo kugusiwa mrambo?
Utadhani umekanyaga nyoka! Hatari iko wapi ?
Lambwa bwanaa!

Judgement jamani nawe unasapoti nilambwe?
Labda nimpe mwiko aulambe,
ila milambwo mingine mmhh!!
Hapana ni Khatarii!!
 
Last edited by a moderator:
asanteeni saaana tuu yan hapa mnanipa na listi zingne za kupika siku za uson yan aiyaayaaayya mbona furuuuu mautamu basi sawa madame my sister, cl my shost aspirin my babu, mentor my kaka, eversmilin my hommie, na wengineo jaman nawapendaaa
 
asanteeni saaana tuu yan hapa mnanipa na listi zingne za kupika siku za uson yan aiyaayaaayya mbona furuuuu mautamu basi sawa madame my sister, cl my shost aspirin my babu, mentor my kaka, eversmilin my hommie, na wengineo jaman nawapendaaa

Kwa niaba yao wote tuseme,
ASANTEEE beibe nasty Nasi twakupenda pia mamito
 
Last edited by a moderator:
Akijaiva tu!

jaman jaman kichwa kimestuck asubuhi hii nataka pika ila sijui nipike nin pilau mekula jana na upolo upo, maharage juz na samaki kitoga sa sielew tupo mtu tatu mim mama na dogo sijui nipike nin mwenzenu hapa nina mwekundu unga,mchele vipo hebu nambien nipike nini nipo serious utan badae sio sahiii tafadhali hebu nipen ushauri tuuu afu nione ntapika nin.


Morning
 

Attachments

  • SAM_1098.JPG
    SAM_1098.JPG
    632.6 KB · Views: 36
  • SAM_1100.JPG
    SAM_1100.JPG
    447.2 KB · Views: 27
Back
Top Bottom