Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,196
- 184,913
Unasumbua kuamka asubuhi... Unaamka huku unanungunika...Na uzee huu Kweli nisumbue kuamka asubuhi? Haiwezekani cha utukutu
Unasumbua kuamka asubuhi... Unaamka huku unanungunika...Na uzee huu Kweli nisumbue kuamka asubuhi? Haiwezekani cha utukutu
🤣🤣🤣 haya niache nilale basi ili nisinung’unike keshoUnasumbua kuamka asubuhi... Unaamka huku unanungunika...
Hahaha Yani wewe mtoto unanipenda sana...
😂😂😂 sitakiiiHahaha Yani wewe mtoto unanipenda sana...
Khaa.. kaone kwanza..
Abee G
Hao watu wanakaaga jukwaa zipi? Ndio kwanza nawaona 😂
Intelligence 🤣🤣🤣 kule sijawahi kukuonaHao watu wanakaaga jukwaa zipi? Ndio kwanza nawaona 😂
😂😂😂 Sitembeagi sanaIntelligence 🤣🤣🤣 kule sijawahi kukuona
Sababu nakupenda ndiyo maana...😂😂😂 sitakiii
Kwanini umeiba avatar yangu
Nije kukubonda sioSababu nakupenda ndiyo maana...
Kama upo na tatizo na hilo njoo...