Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,300
- 184,992
Nipo poa kabisa, wewe je wajionaje na hali yako...Nilitaka nijue tu kama hewani,Vp umeshindaje?
Nipo poa kabisa, wewe je wajionaje na hali yako...Nilitaka nijue tu kama hewani,Vp umeshindaje?
Niko poa,...uwe na jioni njema❤️Nipo poa kabisa, wewe je wajionaje na hali yako...
karibu kuna party leo...Niko poa,...uwe na jioni njema❤️
Asante,nimesikia la bia au ni kitu kingine tu?🤸karibu kuna party leo...
Kila kitu unachokijua wewe kasoro kunyanduana hakutakuwepo...Asante,nimesikia la bia au ni kitu kingine tu?🤸
🤣🤣🤣 Mecheka sana,afu kunyanduana kumepitwa na wakati sikuhiz.But fresh na likizo hii embu ngoja niitumie vyema Aisee🥰😜Kila kitu unachokijua wewe kasoro kunyanduana hakutakuwepo...
Mpaka bangi zipo...
Nyanduo za siku hizi siyo za kupanga, ni zile zinazotoea ghafla tu...🤣🤣🤣 Mecheka sana,afu kunyanduana kumepitwa na wakati sikuhiz.But fresh na likizo hii embu ngoja niitumie vyema Aisee🥰😜
😜yeap! Za kupanga hazinogi unaanza kujiandaa mikogo na style kibao wakati mnyanduo kimasihara ni automatically na chap kuoga kwenu🚴🚴🚴Nyanduo za siku hizi siyo za kupanga, ni zile zinazotoea ghafla tu...
Karibu
Hahahaha... Kama yule paka mwenye mimba...😜yeap! Za kupanga hazinogi unaanza kujiandaa mikogo na style kibao wakati mnyanduo kimasihara ni automatically na chap kuoga kwenu🚴🚴🚴
😶mwache Nana wangu.....kumbe mkorofi ee?! Umehamisha mada tafadhal🤜Hahahaha... Kama yule paka mwenye mimba...
Msalimie sana...😶mwache Nana wangu.....kumbe mkorofi ee?! Umehamisha mada tafadhal🤜
Sawa🤝Msalimie sana...
Mambo
Pole ndiyo narudi home muda huu, siku nyingine tena...Huwez amini,nimelala eti🤣🤣🤣
🤔Hapana siamini....lazima Kuna sehemu uliegesha😜Hahaha kwani huko kulikua na kulala...