UsijifarijiKwa sasa sijui nakuonaje maana sijakuona bado...
Dah!! wakuniliza hakuna...
Basi itakua rahisi kukukamata...Sina pumzi![]()
Kama namwona mnavyokimbizana then ukamsukuma aanguke wewe ulale juu yakeKafanyaje tena? Huruma za nini?
Yeah,more than a word confidence itself
Hahaha sawa usije ukamtisha, akaniona mwewe bure...Yeah,more than a word confidence itself
Basi itakua rahisi kukukamata...
Nikikushika nitakupa Chocolate sawa mtoto mzuri, ila usije ukaenda kusema nyumbani...


. 
🤣🤣🤣🤣🙌
Na atanyakuliwa soonHahaha sawa usije ukamtisha, akaniona mwewe bure...
Ukishindwa kuhema nitakufanyia CPR mouth to mouth....
Nisije shindwa kuhema![]()
Na nani sasa? Kwani nani nyaku nyaku?Na atanyakuliwa soon












Nikusindikize usingizini...Ngoja kwanza nilale nikue, mtoto mie![]()