Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,036
- 12,568
Niko njema khofu yangu kwako tu ma mkali.Miss you more ba mtu
Mamboo yako?
Za mtwaraaπππ
πππNimelia sana
Tulinunua nyumba karibu na beach kwa ajili yako usiwe bored na mtwara yetuπ₯Ί
ππππNiko njema khofu yangu kwako tu ma mkali.
Huku ntwara kuchele kabisa π
Kwenye lipa namba tushavuka huko πLoooo
ππππ
Mnavukaje na mi km ma mjengo sijui? ππKwenye lipa namba tushavuka huko π
Hata mimi kuogelea siyo vitu vyangu ππππ
Usijali ufukwe napenda ila sio kuogelea
Aione Selikavu ππHata mimi kuogelea siyo vitu vyangu π
Mambo mengi ma mkali kama ndugu yangu asingeniita nisingekuwa najua kama nimeitwa huku πMnavukaje na mi km ma mjengo sijui? ππ
Atabwata sana πAione Selikavu ππ
Poa sana mrembo za kwakoNiajee
ππππMambo mengi ma mkali kama ndugu yangu asingeniita nisingekuwa najua kama nimeitwa huku π
Nimemiss kukuona ila sasa unaweza niita selfika na nisitokee kwa wakati vikanipita πππππ
Pole sn jana na juzi tulikuwa full tunapita bila emojNimemiss kukuona ila sasa unaweza niita selfika na nisitokee kwa wakati vikanipita π
Aisee! Haya bhana napokea pole kinyonge πPole sn jana na juzi tulikuwa full tunapita bila emoj
Hahaha π
Salama sijui wewe swahibaPoa sana mrembo za kwako
Nipo buju buju nmejaa teleSalama best
You are missed buju buju
Wenye wivu wajinyongeπNipo buju buju nmejaa tele
Kama nilivyokujibu kule πΉKijana wangu analeta taharuki π
Nimeanza kuvutiwa na mallory mtoto yuko π₯
Khalas ππ