Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 442
- 757
Yes ma bebzUnajipakulia minyama
Tuyajenge inbox ma loveYes ma bebz
Tutatoa Askar Monument pale posta tuweke lako๐๐Nijengewe sanamu
Hahah
Pazuri sanaa andaa swimming Costume mapema maana tunakaa karibu na bahari kabisa mwendo wa dakika moja umefika beach๐๐Ni huzuni kwakweli ๐๐๐
Bora hapa niliwaza bro atatoboa kwel๐๐๐๐๐๐
Unajua kiuhalisia pesa tunapqta ila ss kwenye kuweke wengi hatuna hiyo nidhamu, dawa ni vikoba na michezo tu....
Mi hapana sifiki Mil kwakweli
๐๐๐Bora hapa niliwaza bro atatoboa kwel๐๐
Unfortunately sipendi kuogeleqPazuri sanaa andaa swimming Costume mapema maana tunakaa karibu na bahari kabisa mwendo wa dakika moja umefika beach๐๐
Nimelia sanaUnfortunately sipendi kuogeleq
Hahah
Njoo uone daddy ake KimmieNimelia sana
Tulinunua nyumba karibu na beach kwa ajili yako usiwe bored na mtwara yetu๐ฅบ
Familiya sikuona hii tag. Heshima yako mkuu ๐
Ndugu yangu huyo anajua huwa nikiingia JF notifications zote napiga mark read usiponipa taarifa kule eFootball kama umenipa tag mahali unaweza hisi nimedharau ๐๐
Kijana wangu analeta taharuki ๐Njoo uone daddy ake Kimmie
Shwari umepotea sana kakFamiliya sikuona hii tag. Heshima yako mkuu ๐
Alimmisi sana ๐ hawezi bisha
๐๐Shikamoo mkuuMkubwa wewe sasa ๐
Naomba nikusalimie huku nimekushika miguu kaka๐๐๐Shikamoo mkuu
Nimekuta kujibu