Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,380
- 42,447
Mtwara???πππππJambo la kheri mkuu kama upo salama
Nimefurahi kuona upo...
Nakukumbusha kuja mtwara kwa kijana wako
Ndio lzm nijipange maana naona hivi vikoba vitaniuaππππUmejipanga umetafuta adi lipa ya TTCL π€£π€£
Tukose kwa kukimbiliaππ
Namleta aje kuchukua namba mwenyewe akutumieππ
salama kabisaTresor Mandala nakusalimia
ok vizurisalama kabisa
Mungu anabariki Swahiba....Tunashukuru..Niko poa kabisa Swahiba ,sijui wewe Swahiba wangu
Amen πππMungu anabariki Swahiba....Tunashukuru..
Una balaa lako sekta hiyo utengweπKampigia mpk melo??
Kwwli nimemshika pabaya
Hahaha
Eeh tunakaa ntwara sieππMtwara???πππππ
Vyako marejesho sh ngapi kwa mwezi πππNdio lzm nijipange maana naona hivi vikoba vitaniuaππππ
Mmmmh,Hapa Kuna watu wanaumia dailyVyako marejesho sh ngapi kwa mwezi πππ
Maana nilikutana na Mmoja aliniambia anaweka zaid 1m kwa mwezi kwenye vikoba na hapo hana kaziππ nikasema Utengwe
Yeye alidai anazungusha hizo helaππila mimi kama mtu kutoka jamhuri ya watu wa cuba nilielewaMmmmh,Hapa Kuna watu wanaumia daily
Hahahaha,mie pia nimeelewa anachozungushaYeye alidai anazungusha hizo helaππila mimi kama mtu kutoka jamhuri ya watu wa cuba nilielewa
Anazungusha hela mkuu tuelewe hivyoππHahahaha,mie pia nimeelewa anachozungusha
Nakupenda mpenzi wanguNambie
Unajipakulia minyamaNakupenda mpenzi wangu
Nijengewe sanamuUna balaa lako sekta hiyo utengweπ
Ni huzuni kwakweli πππ
ππππVyako marejesho sh ngapi kwa mwezi πππ
Maana nilikutana na Mmoja aliniambia anaweka zaid 1m kwa mwezi kwenye vikoba na hapo hana kaziππ nikasema Utengwe