I know that love!!! And am happy to see you weye ndo unanipa stimu za kuingia jf!!Nipo kinyonge sana...
Nipo Swahiba. 😅Umeadimika swahiba 😂
Poa swahibaNipo Swahiba. 😅
Unaguna nn ssMmhh
Una uhakika?Nimekuta tag bila kuona content yoyote ya kua tagged
Fanya kweli! Mimi nipo nikuulize wewe nini kimekukuta? Au ulienda kufungua kanisa😂Namimi nitatangaza nia sept 4 mkuu,
Umepotelea wapi
WAumini wa sasa wabishi sana dili la kanisa haliwezekani.Fanya kweli! Mimi nipo nikuulize wewe nini kimekukuta? Au ulienda kufungua kanisa😂
Hawatoi sadaka kwa wakati? Haha tutashirikiana kuwalaghai hilo ondoa shaka!WAumini wa sasa wabishi sana dili la kanisa haliwezekani.
nilikua ndanindani mkuu, suala la kujiuzulu ndo limenivuta kwa nguvu kubwa.
Nafurahi kukuona
hilo limefika.Hawatoi sadaka kwa wakati? Haha tutashirikiana kuwalaghai hilo ondoa shaka!
Usiwe unapotea sana aisee, siku mojamoja unachungulia humu kinaendelea nini..
Nafurahi piaa😛
Lakini sina tweeter jamani😁hilo limefika.
Mkuu sadaka kwa hali ya miaka hii i aanza kua ngumu sana
View: https://x.com/jaliluzaid/status/2084471110826099100
Pitia quote tweets za hiyo post 😁 mjumbe hauwawi
Idea umepata hata kwa kukisia mkuu 😁 ,kwa kifupi sanaa wamepinga miujiza kitendo kinachotishia ukusanyaji wa sadakaLakina sina tweeter jamani😁
Sijasikia kitu! Ikifunguka lazima nijue kuna nini huko! Haiwezekani mpinge ukusanyaji sadaki vikali namna hii!🤔Idea umepata hata kwa kukisia mkuu 😁 ,kwa kifupi sanaa wamepinga miujiza kitendo kinachotishia ukusanyaji wa sadaka
Mjumbe hauwawi mkuu, kesho ntajitahidi kuifafanuaSijasikia kitu! Ikifunguka lazima nijue kuna nini huko! Haiwezekani mpinge ukusanyaji sadaki vikali namna hii!🤔