Nimeingia humu nikasema subiri nikutag ili nikusumbue kumbe ushaanza kusumbuka muda tudah!๐ basi tutanza na kimoja na nusu kwanza
I really missed you santana๐ฅฐHuu Uzi Bado upo?
Thank you Dearest ๐ฅฐ
You ain't disturbing me, Najua huu ni upendo, ubarikiwe sana .
ehee, la msingi kuyumba sio kuzima ๐ฅณdah!๐ basi tutanza na kimoja na nusu kwanza
Weapon of Jedi, Kwenye Star wars Movie ,light SaberKwasabu gani?
Upo makamu wa raisi ๐Nimeingia humu nikasema subiri nikutag ili nikusumbue kumbe ushaanza kusumbuka muda tu
Sawa bwana masumbuko
Daah ๐ hunitakii memaUpo makamu wa raisi ๐
Singida hawajambo , ni baridi /upepo Tuu unatupa changamotoNiaje
Singida hawajambo?
Imetosha kabisa๐Weapon of Jedi, Kwenye Star wars Movie ,light Saber
Ila hiyo imetosha sasa ni another story
Mniandalie na notes kabisaa๐คธ๐ฝโโ๏ธHuyo anafaa japo hashindwi kutusahau tumsainishe mkataba kabisa ๐
๐ wazo zuri, akiingia tu madarakani utuwekee mishahara ya wabunge kwenye acc kila mwezi ๐Huyo anafaa japo hashindwi kutusahau tumsainishe mkataba kabisa ๐
Thank you Dear, I really appreciate this๐I really missed you santana๐ฅฐ
Acc zipi ? NMB au ?๐ wazo zuri, akiingia tu madarakani utuwekee mishahara ya wabunge kwenye acc kila mwezi ๐
Hata za m pesa tu cha muhimu muamala usome la sivyo tunandamana atoke madarakani ๐Acc zipi ? NMB au ?
Oya me nina account zangu za Abu dhabi huko aweke mshahara wa abdul ๐
Am so good mamaake!Thank you Dear, I really appreciate this๐
Here I am, hopefully you're doing fine.