Mention someone without any reason just to disturb them

Sio lazima ye akucheck vin ata wewe unaweza muanza
Napenda unavyompa matumaini hewa. 🤣
🤣🤣Na anakua(ga) wa moto mkali. Kweli ni futa lako.Aikkoo mbali na utawala wenu kapuku republic
 
My wii usimfanyie hivi kama kuna chochote amekukosea msamehe bwanah me najisikia vibaya sana
🤣🤣🤣 Huu ni ucheshi my wiii huyu tajiri wetu wa kigamboni muda wote yupo location, camera zinammulika action na cut zimetawala.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wii we mwenyewe waelewa hakuna wakuibwa humu, ila Ma shareholder wanaongeza hisia za umiliki tu ..kuwa highest shareholder.[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] My wii utamuua mtoto wa mwanamke mwenzio
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] My wii utamuua mtoto wa mwanamke mwenzio
🤣🤣 Wii unayako sasa sio kwa hizi kampeni, Huyu anamuda wake. Bado anapanga karata zake. Usipojishikilia vizuri utamtaka mbona🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…