zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,855
I can see many of em tagging ladies






Notification tunapataKuna wale wanaotumia app itakuwa ni kazi bure. Hawaoni maana hawapati notification.
pisiii
Pisiii?peace?

Pisiii?peace?
pisi,mrembo , mtoto mkali , mtoto mzuri nk
Hata mimi nilikuwa siijui huku kwetu msichana mrembo kama wewe tunamuita totozHahahahh ifike mahali niache ushamba sasa
Hata hii pisii nimekosa?

Hahahahh ifike mahali niache ushamba sasa
Hata hii pisii nimekosa?
kabisa maana upo Out dated sanahahahakabisa maana upo Out dated sana
Hahah sikutarajia bhana kama ulimanisha pisii hiyo

Hahah sikutarajia bhana kama ulimanisha pisii hiyo

njoo kwenye uzi wa single boys wa Jf unifariji![]()
Sijauona,naomba unitag
Loh!ladies taking over